From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
siku ya mwisho ya dozi ya dawa
the last day
Last Update: 2024-04-12
Usage Frequency: 1
Quality:
tarehe ya mwisho ya kuwasilisha ni juni 27, 2014.
the deadline is june 27, 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
picha ya mwisho ya miaka number_of_years iliyopita
picha ya mwisho miaka number_of_years iliyopita
Last Update: 2022-05-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri ya wanachama 250 wa waasi wa chui wa kitamil waliuwawa kwenye mapambano ya mwisho ya vita vilivyodumu kwa miaka 26.
about 250 members of the tamil tigers were reportedly killed in the final surge of fighting in the country's 26-year-old war.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vyanzo vinasema kuwa ethiopia itaweza kutoa huduma maji safi ya kunywa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufikiwa kwa malengo ya milenia.
sources revealed that ethiopia will provide a supply of clean water before the millennium development goals deadline
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
machafuko katika mji huo wa beira yalianza novemba 16, na ya pili siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi wa manisipaa nchini msumbiji.
unrest in beira set in on november 16, the second to last day of the electoral campaign for mozambique's municipal elections.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama mapinduzi ya mwisho ya kijeshi yaliyotokea agosti 2005, yangalieleweka na jumuiya ya kimataifa baada ya kung'olewa kwa rais ould tayaa, na hatimaye kupelekea mabadiliko makubwa, mapinduzi haya ya juzi yalikuwa tofauti saana.
if the last coup, in august 2005, could be met with cautious understanding by the international community, having unseated president ould tayaa, and eventually with praise as it led to a real transformation, this time around it is different.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siku ya mwisho ya maandamano mjini budapest ilimalizika kwa matukio mawili ya wanafunzi washiriki kutembea hadi kwenye daraja ambalo majadiliano lifanyikia ilikumkaribisha waziri wa rasilimali watu pamoja na waziri mkuu ili wathibitishe kuwa madai yao yameshatekelezwa.
the day of the protests in budapest ended with two student events' participants marching to the chain bridge, where they held a forum, inviting the minister of human resources and the prime minister to guarantee that the students' demands are met.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
amenifurahisha huyu naibu spika kwa kudai ni aibu ya kiongozi wa upinzani kuongoza wapinzani kutoka nje wakati kimsingi hii ni aibu yake kwa kushindwa ku-manage kikao...la hii move ya mwisho ya huyu mheshimiwa sugu imeniacha hoi kwa kicheko.
the deputy speaker makes me laugh when he suggests that it is shameful for the leader of the opposition to instruct other opposition members to leave the chamber, when in fact it is a shame for him to be unable to control the session. but this move by honorable sugu has left me dead with laughter.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jamii ya mtandaoni ya wa-sudani ina matumaini na mwelekeo wa mapinduzi ya sudani, ambapo wengi wanajiapiza kwamba tarehe 30, juni 2012 itakuwa siku ya mwisho ya chama kinachotawala nchi hiyo cha ncp (national congress party) kuadhimisha kuwapo kwake madarakani.
the online sudanese community seems optimistic about the course of the sudanese revolution, where many promise that june 30, 2012 will be the ruling national congress party's final anniversary.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.