Results for je, unataka uonekane vipi kwa wat... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

je, unataka uonekane vipi kwa watu wengine

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

"basi, mwenye shamba atafanya nini? atakuja kuwaangamiza hao wakulima na kulikodisha hilo shamba la mizabibu kwa watu wengine.

English

what shall therefore the lord of the vineyard do? he will come and destroy the husbandmen, and will give the vineyard unto others.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

barakoa za uso za kimatibabu zinazuia matone ya majimaji kutoka wa mtu anayeweza kuwa ameambukizwa dhidi ya kusafirishwa hewani au kukwama kwenye sehemu za bidhaa, ambapo yanaweza kupitisha kwa watu wengine.

English

surgical face masks prevent liquid droplets from a potentially infected individual from traveling through the air or sticking onto surfaces of materials, where they could be passed on to others.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kudhibitiwa kunaendeshwa katika awamu za mapema za mkurupuko na kunalenga kufuatilia na kuwatenga watu walioambukizwa pamoja na kuleta hatua nyingine za kudhibiti maambukizi na chanjo ili kukomesha ugonjwa kuenea kwa watu wengine.

English

containment is undertaken in the early stages of the outbreak and aims to trace and isolate those infected as well as introduce other measures of infection control and vaccinations to stop the disease from spreading to the rest of the population.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matibabu ya msingi ni kutibu dalili ya ugonjwa na tiba saidizi. hatua zilizopendekezwa vya kuzuia ni pamoja na kuosha mikono, kufunika mdomo wako unapokohoa, kudumisha umbali na watu wengine, na ufuatiliaji na kujitenga mwenyewe kwa watu wanaoshuku wameambukizwa.

English

primary treatment is symptomatic and supportive therapy.recommended preventive measures include hand washing, covering one's mouth when coughing, maintaining distance from other people, and monitoring and self-isolation for people who suspect they are infected.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

madaktari wasiokuwa na mipaka waliitisha mkutano wa waandishi wa habari baada ya habari hiyo, lakini josé antonio bastos, rais wa dwb hispania, alisema hawangetoa taarifa juu ya mchakato wa ukombozi "ili kutokusababisha matatizo kwa watu wengine wanaojitolea nchini somalia pamoja na watoa habari."

English

doctors without borders (msf) called a press conference following the news, but josé antonio bastos, president of (msf) spain, said they could not release information on the liberation process "so as not to compromise the rest of the volunteers in somalia nor the informants."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wanawake wajawazito wanaweza kuwa katika hatari kubwa ya kuambukizwa na covid-19 kulingana na data ikilinganishwa na virusi vingine sawia, kama vile sars na mers, lakini data ya covid-19 inakosekana. kwa watu wengine, covid-19 inaweza kuathiri mapafu na kusababisha nimonia.

English

pregnant women may be at higher risk for severe infection with covid-19 based on data from other similar viruses, like sars and mers, but data for covid-19 is lacking.in some people, covid-19 may affect the lungs causing pneumonia.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sa sucks anaandika, “ni wazi, sipho hulisafisha vuvuzela kwa kulipekecha kila upande, huku akisambaza mate yenye virusi vya ukimwi/tb (& na mungu anajua ni magonjwa gani mengine) kwa watu wengine walio nyuma, mbele na pembeni yake.”:

English

sa sucks writes, "apparently sipho would empty the vuvuzela every often by swinging it wildly, splattering strings of hiv-positive / tb (& god knows what other nasty diseases) gob all over the hapless person behind, in front of and next to him.":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,725,236,829 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK