Ask Google

Results for jina la kwanza la mama yako ni lipi? translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

jina la kwanza:

English

first name:

Last Update: 2016-12-18
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Jina la Mwisho la Mama

English

What is your mother's first name?

Last Update: 2020-02-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Jina la kuzaliwa la mama

English

All students with names from Heslb which are missing either Middle Name or Surname must be ammended. The provided name should be of the format FirstName MiddleName Surname and must march what has been provided from heslb.

Last Update: 2020-08-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mama yako ni mjinga

English

Your mother is a fool

Last Update: 2015-11-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Gwaride la Kwanza la Mashoga Nchini Lesotho

English

First LGBTI Parade in Lesotho · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Leila Hall anablogu kuhusu gwaride la kwanza la mashoga kuwahi fanyika nchini Lesotho:

English

Leila Hall blogs about the first-ever gay parade in Lesotho:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Sam' s World anatupa mtazamo wake wa Kongamano la Kwanza la Kimtandao la Kiarabu, lilofanyika Beirut hivi karibuni.

English

Sam' s World gives us his take on the First Arab Internet Conference, held in Beirut recently.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mnamo Mwezi Mei 26th 2014 nilichapisha toleo la kwanza la zana ya App—Lite—on ya simu zenye mfumo wa Windows.

English

On May 26th 2014 I published my first App—Lite—on the Windows Phone Store.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Shirika hilo, ambalo lilitambuliwa kisheria mwaka 2010, kama lilivyo gwaride la mwaka huu ni shirika la kwanza la aina yake nchini Lesotho.

English

The organisation, which only received legal recognition in 2010, is – like this year’s parade – the first of its kind in Lesotho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa dalili, baadhi ya wataalamu walipendekeza dawa ya paracetamol (acetaminophen) badala ya dawa ya ibuprofen kuwa chaguo la kwanza la kutumia.

English

For symptoms, some medical professionals recommend paracetamol (acetaminophen) over ibuprofen for first-line use.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwanharakati wa kutetea haki za binadamu ajulikaye kwa jina la Maryam Alkhawaja pia alipakia video inayowaonesha maafisa wa polisi wakiwanyunyizia wanawake pilipili bila ya kujua haswa lengo ni lipi.

English

Human rights activist Maryam Alkhawaja also shared a video which shows police forces macing women - reportedly - for no apparent reason:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tamasha la kwanza la Africa Web Festival litafanyika jijini Abidjan, Côte D'Ivoire (Novemba 24-26).

English

The first Africa Web Festival will take place in Abidjan, Côte D'Ivoire (November 24-26).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ungana na tamasha la kwanza la Web Africa Festival kwenye moja wapo ya makundi yafuatayo ya ushindani: dokumentari, utalii, masimulizi, burudani, elimu na matangazo.

English

Join the first Web Africa Festival in one of the six competition categories: documentary, tourism, fiction, entertainment, education, advertising and tourism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Chanjo za majaribio kutokana na mbinu hizi zozote zitalazimika kupimwa kwa ajili ya usalama na ufanisi. Tarehe 16, Machi 2020, jaribio la kwanza la kliniki la chanjo lilianza na watu 4 waliojitolea huko Seattle.

English

Experimental vaccines from any of these strategies would have to be tested for safety and efficacy.On 16 March 2020, the first clinical trial of a vaccine started with four volunteers in Seattle.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili yakuti samawati, la tatu kalkedoni, la nne zamaradi,

English

And the foundations of the wall of the city were garnished with all manner of precious stones. The first foundation was jasper; the second, sapphire; the third, a chalcedony; the fourth, an emerald;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

FDA nchini Marekani iliidhinisha jaribio la kwanza la utunzaji tarehe 21 Machi 2020 kwa ajili ya matumizi mwishoni mwa mwezi huo. Miongozo ya utambuzi iliyotolewa na Hospitali ya Zhongnan ya Chuo Kikuu cha Wuham ilipendendekeza mbinu za kugundua maambukizo kulingana na sifa za kliniki na hatari ya magonjwa ya mlipuko.

English

The FDA in the United States approved the first point-of-care test on 21 March 2020 for use at the end of that month.Diagnostic guidelines released by Zhongnan Hospital of Wuhan University suggested methods for detecting infections based upon clinical features and epidemiological risk.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Siku hiyo hiyo mwaka 2012, Arcoiris waliratibu tukio la kwanza la "Besada," na karibu watu 50 walihudhuria tukio hilo katika maeneo ya uwanja wa michezo wa Ramon Fonst, kwenye manispaa ya Plaza Havana.

English

On the same date in 2012, Arcoiris organized the first "Besada," and nearly 50 people participated in that event in the vicinity of the sports arena Ramon Fonst, in the municipality Plaza Havana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Daudi Oliveira de Souza, daktari na profesa wa Taasisi ya Utafiti wa Hospitali ya Sirio-Libanés, alituma barua ya wazi kwa madaktari zaidi ya mia nne wa Cuba ambao hivi karibuni waliwasili nchini Brazil wanaoanzisha kundi la kwanza la jumla ya madaktari 400 ambao wanatarajiwa kuja nchi hii kabla ya Desemba mwaka huu.

English

David Oliveira de Souza, a doctor and professor from the Research Institute of the Sirio-Libanés Hospital, sent an open letter to the more than four hundred Cuban doctors who recently arrived in Brazil and who constitute the first group of a total of 4,000 physicians who are expected to come to this country before December of this year.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Miaka 14 iliyopita, kwa kutumia kauli mbiu ya "mtu na mazingira, kuelekea karne ya 21″, watu wa Kunming walijivunia na kuhamasika katika Tamko la kwanza la Dunia nchini China! Miaka 14 baadae, watu wa Yunnan imebidi waingie mitaani kupambana kulinda mazingira yao!

English

14 years ago, under the theme of "man and nature, marching into the 21st century", the Kunming people ushered in the first World Expo in China with pride and excitement! 14 years later, Yunnan people had to take to the streets to fight for the environment!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK