From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na haiwezekani kwa nabii yeyote kufanya khiyana.
it is not [attributable] to any prophet that he would act unfaithfully [in regard to war booty].
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
(mwenyezi mungu) anajua khiyana ya macho na yanayo ficha vifua.
(allah) knows of (the tricks) that deceive with the eyes, and all that the hearts (of men) conceal.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hayo ni apate kujua ya kwamba mimi sikumfanyia khiyana nyuma yake; na ya kwamba mwenyezi mungu haziongoi hila za makhaini.
"from this," said joseph, "[the nobleman] should know that i did not betray him in his absence, and that god does not guide the plotting of the treacherous.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na atakaye fanya khiyana, atayaleta siku ya kiyama aliyo yafanyia khiyana, kisha kila mtu atalipwa kwa aliyo yachuma, kwa ukamilifu; wala hawatadhulumiwa.
a treacherous person will be brought before god on the day of judgment with his treacherous deeds. then every soul will be recompensed for its works without being wronged.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na haiwezekani kwa nabii yeyote kufanya khiyana. na atakaye fanya khiyana, atayaleta siku ya kiyama aliyo yafanyia khiyana, kisha kila mtu atalipwa kwa aliyo yachuma, kwa ukamilifu; wala hawatadhulumiwa.
a prophet may not breach his trust, and whoever breaches his trust will bring his breaches on the day of resurrection; then every soul shall be recompensed fully for what it has earned, and they will not be wronged.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: