From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lakini, kama jinsi wanavyopambana na harakati za maisha za kipindi hiki za siku hadi siku ni kiashirio kwa namna yoyote - basi watu wa haiti wataibuka upya.
but, if the way they deal with day to day hardship is any indication - the people of haiti will rise.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
serikali ya pérez molina siku za hivi karibuni ilitumia nguvu kuwatawanya makundi ya wanafunzi, walimu na wazazi wanaoandamana kupinga mabadiliko ya elimu yaliyo ya kibaguzi; kama mauaji ya sasa yatathibitishwa kuwa yametokana na matumizi ya nguvu ya kijeshi, itakuwa ni kiashirio cha kwanza cha serikali kandamizi iliyo ya kiuaji dhidi ya raia wanaoandamana chini ya uangalizi wamano dura.
the pérez molina administration has previously used violence to break up roadblocks and occupations by students, teachers, and parents protesting exclusionary education reforms; if today’s deaths are confirmed to be the responsibility of security forces, it will mark the first clear instance of mortal government repression against civilian protest under mano dura.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: