Ask Google

Results for kinachotaka translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Kitu pekee ambacho nataka kujua ni kiasi gani haya yote hunigharamu mimi kwa maana ya hisa, kutokana na kwamba mwezi huu mimi nimelipa zaidi ya theluthi moja ya mapato yangu katika kodi. (...) Raia yeyote wa nchi hii amekuwa mhanga rahisi kwa kila chenye jinai ambacho kinachotaka kupata fedha kwa urahisi.

English

The only thing that I want to know is how much this all costs me in terms of the share, given that this month I have paid over a third of my gross income in taxes. (...) any citizen of this country has become an easy piece for everything criminal that wants to make easy money.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Waandaaji wa tuzo hizi ni wanachama wa Chama cha Wanablogu Kenya (BAKE), jumuia inayowakilisha kikundi cha wazalishaji wa maudhui mtandaoni kinachotaka kukuza uzalishaji wa maudhui na kuboresha kiwnago cha maudhui yanayowekwa mtandaoni.

English

Organizer The Kenyan Blog Awards are an initiative of the Bloggers Association of Kenya (BAKE). BAKE is a community organization that represents a group of Kenyan online content creators and that seeks to empower online content creation and improve the quality of content created on the web.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK