Results for kitu ambacho napenda translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kitu ambacho napenda

English

Last Update: 2021-02-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siwezi kuachana na kitu ambacho kimegusa moyo wangu.

English

i cannot expel something that has made an impression on my heart.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

usijali baba angu nitakupa kila kitu ambacho nitaweza ila naomba unisamehe nikish

English

don't worry my father i will give you everything i can but please forgive me nikish

Last Update: 2021-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

walalamikaji mara nyingi wanasambaza uongo kupinga kila kitu ambacho wengine wanakifanya.

English

these naysayers often spread blatant lies to oppose anything other people do.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kila kitu ambacho kilikwenda mrama hadi kusimama kabisa kulichukua kama sekunde 30 hivi.

English

everything from something that went wrong till the full stop took about 30 seconds.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika safari hii, mvua ilinikaribisha, kitu ambacho sisi watu wa lima hatukukizoea kabisa.

English

rain welcomed me on this adventure, something we limeans are not used to at all.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kitu ambacho kinanifanya kuwa na hasira ni kujua kwamba hili silo jambo lisilo la kawaida.

English

the thing that makes me so angry is knowing that this is not something out of the ordinary.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hapo ndipo walipojitengenezea sanamu ya ndama, wakaitambikia na kukifanyia sherehe kitu ambacho ni kazi ya mikono yao wenyewe.

English

and they made a calf in those days, and offered sacrifice unto the idol, and rejoiced in the works of their own hands.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa wale wanaofahamu kwamba bahrain ipo katika ghuba ya ajemi, kuna kitu ambacho huwaingia vichwani - utajiri.

English

for those who know that bahrain is indeed in the persian gulf, there is one thing that comes to mind – wealth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi ya watu walisema kwamba anataka mwanae awe na mtindo wa kawaida wa maisha, kitu ambacho hakina uhusiano na uzalendo.

English

some netizens said that she only wants the child to have a more normal lifestyle, which has nothing to do with patriotism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama hawana, kitu ambacho serikali inahitaji kufanya ni kuwapa uwezo wa kuweza kujimudu ili waweze kununua chombo hicho cha msingi.

English

if they do not, what the government needs to do is to empower them to be able to afford such a basic tool.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hala ni mpwa wangu mchanga anayeishi nchini libya na hawezi kuja gaza - kitu ambacho kimekuwa ndiyo lengo la karibu kila mmoja wetu siku hizi.

English

hala is my young niece who lives in libya and cannot come to gaza – which has become everyone's focus these days.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini ninyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema: kitu hiki nimemtolea mungu,

English

but ye say, whosoever shall say to his father or his mother, it is a gift, by whatsoever thou mightest be profited by me;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni jarida la mtandaoni la kikaribea kwa ajili ya waandishi wa kikaribea ambalo litakuwa na rekodi ya kutengeneza na kuchapisha kwa haraka, kitu ambacho kilikuwepo kwenye majarida haya mengine.

English

an online caribbean journal for caribbean writers with the kind of turn-around and quick publishing record that these other online journals had.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sikilizeni enyi wenye madharau, shangaeni mpotee! kwa maana kitu ninachofanya sasa, nyakati zenu, ni kitu ambacho hamtakiamini hata kama mtu akiwaelezeni."

English

behold, ye despisers, and wonder, and perish: for i work a work in your days, a work which ye shall in no wise believe, though a man declare it unto you.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

umenifanya ninywe kitu ambacho siwezi kukaa bila chochote nilichowahi kujua lm nikitumaini kuwa baada ya homa hii nitahudumia najua lm acting a bit crazy strung out kidogo crazy mkono juu ya moyo lm praying that i'm gonna make ni kuishi

English

you got me sipping on something i can't camper to nothing i've ever know lm hoping that after this fever i'll servive i know lm acting a bit crazy strung out a little bit crazy hand over heart lm praying that lm gonna make it out a live

Last Update: 2022-02-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba madiba (kama ambavyo wengi wanapenda kumwita huko afrika ya kusini) alitumia miaka 67 ya maisha yake katika kupiga vita ubaguzi wa rangi na umaskini.

English

what most people don’t know is that madiba (as he is affectionately known in south africa) spent 67 years in the fight against racism and poverty.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na vipi nivikhofu hivyo mnavyo vishirikisha, hali nyinyi hamkhofu kuwa nyinyi mmemshirikisha mwenyezi mungu na kitu ambacho hakukiteremshia uthibitisho. basi kundi gani katika mawili haya lina haki zaidi kupata amani, kama nyinyi mnajua?

English

and how should i fear what you have set up (with him), while you do not fear that you have set up with allah that for which he has not sent down to you any authority; which then of the two parties is surer of security, if you know?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kayhan, gazeti lililo na uhusiano na kiongozi mkuu wa kidini, ayatollah khamenei, katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha picha ya kijana wa yemen wa kihouthi akiwa amekalia kitu ambacho kilionekana kama mabaki ya roketi yaliyotokana na mashambuli ya anga ya ndege za kivita za saudi arabia dhidi ya wapiganaji wa houthi.

English

kayhan, a newspaper associated with supreme leader ayatollah khamenei's office, published their frontpage with the photo of a young houthi yemeni boy sitting on what seems to be rocket that remains from the saudi arabian airstrikes against houthi fighters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika mjadala uliohusu upatikanaji mapato, kitu ambacho wanablogu wengi, hawakukichukulia kama kichocheo kikubwa katika kiu yao ya kublogu, wengi walikiri kwamba ingawa walikuwa wamejisajili katika makampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandaoni, hakukuwa na kitu kikubwa kilichopatikana jambo lililowafanya wengi kujitoa katika huduma.

English

during the discussion on revenue generation which most bloggers didn’t view as an incentive to their blogging quest, most admitted that despite signing up with international online advertising companies, there was very little to show for it with most eventually withdrawing from the service.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK