Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
@zeinobia: na leo ikiwa ni kwa waumini wa shia, kesho itakuwa kwa jirani yako ambaye mmetofutiana kisiasa na kiweledi.
@zeinobia: and today it is the shia and tomorrow your neighbour who is not in agreement with you politically and intellectually
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiandikwa na mwanazuoni na mchambuzi michael cucek, mkazi wa wilaya ya mjini tokyo tangu mwaka 1994, blogu ya shisaku inajaribu kuwatambua watu maarufu na makundi yanayoongoza mwelekeo wa siasa za japani, na wakati mwingine hutoa mtazamo wa kiweledi kuhusu matukio yanayotokea.
written by scholar and commentator michael cucek, a resident of the tokyo metropolitan district since 1994, the shisaku blog tries to identify the personalities and factions that power japanese politics, and often provides an informed, sardonic take on current events.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: