Ask Google

Results for kuchuja translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Serikali zimefuzu nyenzo na mbinu za kuchuja habari kwenye vyombo vya habari vya kitamaduni.

English

Governments have mastered the tools and techniques of censorship in the traditional media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tunisia: Anonymous Dhidi ya Ammar – Nani Atashinda Vita ya Kuchuja Habari?

English

Tunisia: Anonymous vs Ammar - Who Wins the Battle of Censorship? · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kuhusu swala la kuchuja michoro ya kuchekesha (vikatuni) vyenye mandhari ya kebehi

English

On the issue of censorship of satirical cartoonists

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kama Indonesia itafanikiwa katiaka kuchuja yaliyopo mtandaoni, nchi nyingine katika eneo hili zinatarajiwa kufuata mfano huo.

English

If Indonesia succeeds in filtering web content, other countries in the region are expected to follow this model.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Licha ya majaribio ya utawala kuchuja tovuti za kijamii, ziliendelea kuwa njia yenye nguvu ya mawasiliano ya Harakati za Kijani.

English

Despite the regime's attempts to filter social media websites, they became a powerful communication platform for the Green Movement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ninahisi watu wengine hawana uwezo wa kuchuja hizi kelele zinazotoka kwa wapiga kelele walio kwenye majukwaa ya uwanjani wakati wa mechi za Kombe la Mabara.

English

I guess some people have no ability to filter out these quiet buzzing sounds from the ubiquitous noisemakers in the stands during the Confederations Cup matches.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Utaratibu na utekelezaji vikiwa vimeshika nafasi, serikali hizo zimeendeleza na kusimika mashine za kuchuja ili kudhibiti jinsi raia wanavyoandika na kuyapata yaliyomo mtandaoni.

English

With rules and regulations in place, these governments have developed and deployed their own censorship machine to control how citizens publish and access online contents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wengine wamejiunga kwa dhumuni la pamoja dhidi ya kuchuja habari na ukandamizwaji wa wale ambao wanatumia haki yao ya kujieleza kwa uhuru kwa mujibu wa kipengele cha 19 cha Azimio la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu.

English

Others have joined in common cause against censorship and repression of those who are merely exercising their universal right to free expression according to Article 19 of the United Nations Universal Declaration of Human Rights.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika upande kushoto tunaweza kupata viunganisho maarufu.Tunaweza kutoa maoni katika kila bandiko pia kujibu maoni hayo,lakini hatuwezi kumfuatilia mtumiaji au kuchuja habari isipokuwa katika viunganisho.

English

We can comment in each others posts as well as reply to them, but we can't follow certain users or filter contents, except for the tags.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wanablogu wa Bahrain wanaujia juu uamuzi wa Waziri wa habari wa nchi hiyo wa kuzuia upatikanaji wa tovuti mbalimbali, kadhalika kuzuia matumizi ya tovuti vivuli zinazoruhusu watumiaji kuperuzi tovuti nyingine zilizozuiwa na zana za kuchuja habari.

English

Bloggers in Bahrain are fuming at a decision by the country's Minister of Information to block access to scores of websites, as well as prevent access to proxy sites which enable surfers to get to sites in a roundabout manner.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kusini mashariki mwa Asia serikali hazihitaji kutokee shutuma za ngono ndipo ianze kuchunga mtandao kwani huweza kutumia sababu nyingine yeyote, kama usalama wa taifa, kuchuja na kufuatilia vilivyopo kwenye mtandao.

English

Southeast Asian governments do no always need sex scandals to censor the web since they can always cite other reasons, like national security, to filter and monitor internet content.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mpango wa Indonesia wa kuuchuja mtandao wa intaneti na mambo yote “mabaya” kwa kutumia timu maalumu ya kuchuja media-anuai uliwekwa pembeni mwezi wa pili mwaka huu baada ya kupingwa vikali na wananchi.

English

Indonesia’s plan to filter web of “bad” content through its Multimedia Content Screening team was shelved last February after it was opposed by the public.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK