Ask Google

Results for kupona translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Kupona nitachelewa

English

I'll be a little late

Last Update: 2020-10-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Uwezekano wa kupona ni mdogo mno.

English

Their chances of survival are very slim.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tunawatakia majeruhi wa shambulio kupona kwa haraka.

English

All our thoughts are with the victims of the attack.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwenyezi Mungu amjalie Baraka za kupona haraka.

English

May Allah bless him with fast recovery.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Maombi yetu yatakuwa kwako kujisikia vizuri na kupona haraka

English

Our Prayers will be for your granddaughter to feel better and make a swift recovery

Last Update: 2020-09-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Jamii zilizoathirika zimeonyesha nguvu ya ajabu na wengi wanaelekea kupona.

English

Affected communities have shown remarkable strength and many are on the road to recovery.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Na kwa moyo wangu wote natumaini ataiweka marekani katika njia ya kupona.

English

And with all my heart I hope he puts America on the path to recovery.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kulikuwa na tetesi kuwa angepoteza uwezo wake wa kuona hata kama angeweza kupona.

English

There was speculation that she would have lost her vision even if she had been able to recover.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Si dhahiri kama inawezekana kuambukizwa tena na virusi hivi baada ya kupona mara ya kwanza.

English

It is unclear whether it is possible to be reinfected with the virus after recovering from it the first time around.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Upuuzi unaweza kutafsiriwa kama kuona uteuzi wa kisiasa kama suala la kufa na kupona.

English

Idiocy can be seeing political appointment as a matter of life and death.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika hali nyingi, wagonjwa wanaweza kupona polepole bila hali inasababishwa na ugonjwa uliotangulia.

English

In most cases, patients can recover gradually without sequelae.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Hii inaweza kusababisha pia matatizo ya kiafya ambayo husalia baada ya ugonjwa mkali kupona.

English

This may also lead to post-intensive care syndrome following recovery.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Uhusiano kati ya viwango vya CRP na uzito na uwezo wa kupona kutokana na COVID-19 pia umependekezwa.

English

The correlation of CRP level to the severity and prognosis of COVID-19 has also been proposed.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Hivi sasa hayupo tena katika hatari ya kupoteza maisha kwa sababu ya shambulio lile, ingawa kupona kabisa kutachukua muda.

English

She is not totally out of danger, and a complete recovery will take sometime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ni muhimu kutoa ushauri wa kisaikolojia na msaada wa muda mrefu ili kusaidia wagonjwa kupona kutokana na mfadhaiko na kurejelea hali ya kawaida ya maisha.

English

It is imperative to provide psychological counseling and long-term support to help these patients recover from the stress and return to normal life.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Walihatarisha maisha yao; Mapambano yao yalikuwa ni uthubutu, ukizingatia ukweli kuwa walikuwa wanashughulika na masuala ya kufa na kupona.

English

They took a risk; their activities were daring, after all they were dealing with life and death matters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ugonjwa usio kali kwa kawaida hupona ndani ya wiki mbili, ambapo watu wenye ugonjwa kali au wa hali mahututi wanaweza kuchukua muda wa wiki tatu au sita kupona.

English

Mild cases typically recover within two weeks, while those with severe or critical diseases may take three to six weeks to recover.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Watu mbalimbali kuanzia washirika wake wa kisiasa, washindani wake wakubwa Nawaz Sharif na Shahbaz Sharif hadi watu maarufu duniani kama vile Brian Lara walimwombea Imran Khan kupona haraka.

English

People from all sorts of political affiliations, from his staunch rivals, Nawaz Sharif and Shahbaz Sharif, to international celebrities such as Brian Lara, spoke up to wish Imran Khan a speedy recovery.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi barani Afrika, ushindani nyakati za uchaguzi umekuwa suala la kufa na kupona kwenye nchi nyingi za ki-Afrika.

English

Since the advent of multi party democracy in Africa, electoral contests have become a do or die affair in majority of African countries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Naye alipomwona huyo mtu amelala hapo, akatambua kwamba alikuwa amekaa hapo kwa muda mrefu, akamwuliza, "Je, wataka kupona?"

English

When Jesus saw him lie, and knew that he had been now a long time in that case, he saith unto him, Wilt thou be made whole?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK