Results for kusalia translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na alipo kuwa akisimama ibrahim pafanyeni pawe pa kusalia.

English

adopt the place where abraham stood as a place for prayer.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa hawawezi, fanya mipango iwapo unahitaji kusalia mahali ulipo kwa muda mrefu.

English

in case they can't, make preparations in case you need to stay where you are for an extended period.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu vijidudu vinaweza kusalia kwenye maji yaliyo mkononi, ni muhimu kusuuza vyema na kukausha mikono kwa taulo safi.

English

since germs may remain in the water on the hands, it is important to rinse well and wipe dry with a clean towel.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alinikumbusha umuhimu wa ulimwengu kuweza kutumia wikipedia sasa hivi, na alama kuu ni kwa rasilimali hii muhimu kusalia mtandaoni na kupatikana kwa watu wote.

English

they reminded me how meaningful it is for the world to be able to turn to wikipedia right now, and what a powerful symbol it is for this critical resource to remain online and available to all.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, matibabu hayo huathiri hitaji la watu wenye nimonia ya covid-19 kuongezwa hewa au kusalia katika kitengo cha huduma maalum?

English

do the treatments affect the need for people with covid-19-induced pneumonia to be ventilated or maintained in intensive care?

Last Update: 2024-04-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kumbukeni tulipo ifanya ile nyumba (ya alkaaba) iwe pahala pa kukusanyikia watu na pahala pa amani. na alipo kuwa akisimama ibrahim pafanyeni pawe pa kusalia.

English

and [remember] when we made the house a place of reward for mankind and a sanctuary, [declaring], ‘take the venue of prayer from abraham’s station.’

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika baadhi ya nchi na himaya, shule za chekechea na huduma za utunzaji watoto mchana zinazingatiwa kuwa huduma muhimu na hazijafungwa kulingana na hatua pana za kufunga shule.nchini marekani, idara ya kitaifa ya watoto, vijana na familia ya washington ilihimiza huduma za utunzaji wa watoto na vituo vya masomo ya awali kusalia kufunguliwa.

English

in some countries and territories, preschools and day cares are considered necessary services and have not closed in tandem with broader school closure measures.in the united states, the washington state department of children, youth, and families encouraged child care and early learning centres to stay open.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,919,515,836 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK