Ask Google

Results for kushangazwa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Watumiaji wengi wa mtandao wameonesha kushangazwa na waziwazi kuchukizwa na habari hii.

English

Many netizens seem puzzled and clearly annoyed by the news.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baadhi ya Waafrika Kusini wanaoonekana kushangazwa na madai kwamba nchi hiyo ilitoa rushwa ya dola za Marekani milioni 10 ili kupewa nafasi ya kuandaa mashindano hayo.

English

Few South Africans appear to be overly distraught by the allegations that the country paid a $10-million bribe to win its World Cup bid.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Picha za kutisha za miili ya maiti hao, pamoja na video za baada ya shambulizi hilo, zinasambazwa mtandaoni, kuonyesha kushangazwa sana na mauaji hayo.

English

Graphic photographs of mutilated bodies, as well as videos of the aftermath of the attack, are being circulated online, showing the devastation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Huko Bahraini, Silly Bahraini Girl (ambaye ni mimi) amerudi nyumbani na kushangazwa na kile alichokiona katika kiwanja cha ndege cha nchini mwake:

English

In Bahrain, Silly Bahraini Girl (which is me) is back home and surprised at what she saw at her country's airport:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Alionyesha kushangazwa kwake na hali inavyoendelea kuwa ilivyo katika mfumo wa kisiasa wa Madagaska kiasi kwamba kwa mujibu wake hicho ni kikwazo kikuu cha kuzuia ubia wa pamoja na wawekezaji wa kigeni (fr):

English

He voiced his frustration with the current status-quo in the Madagascar political system that according to him is the main roadblock preventing more bilateral cooperation with foreign investors :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwanablogu Ahmed Shokeir aliendesha taftishi ya kutafuta watu 10 wenye ushawishi zaidi nchini Misri baada ya kushangazwa na matokeo ya Gamal Mubarak, mtoto wa Rais Hosni Mubarak wa Misri - kama mmoja wa washindi 100 wa mwisho wa mwaka 2009 wa TIME.

English

Blogger Ahmed Shokeir conducted a survey to find out the 10 most influential people in Egypt after he was surprised to find out that Gamal Mubarak, son of Egyptian president Hosni Mubarak — who is expected to succeed his father — was among the 2009 TIME 100 Finalists . Shokeir writes: The real surprise was the second Arab influential person after Sheikh Ahmed bin Zayed Al Nahyan, Abu Dhabi Investment Authority managing director who was ranked as number 13 with more than 839 thousand votes. For the first time Gamal Mubarak's name shows up on the Time list in the 18th position with a slight difference (832,593 votes).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakiwa gizani wasijue maradhi yanayomsibu kiongozi wao, wa-Zambia walipatwa na hasira na kushangazwa na habari zilizotolewa na serikali juma hili kwamba rais wa tano wa nchi hiyo, Michael Sata, anayefahamika kwa jina la King Cobra, alikuwa ameaga dunia jijini London mnamo Oktoba 28.

English

Left in the dark about their leader's illness, Zambians were angry more than shocked to learn this week that the country's fifth president, Michael Sata, fondly known as King Cobra, died in London on October 28.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwanablogu Hailing, ambaye anamwonea huruma Yang, anaeleza kushangazwa kwake na kukosekana kwa uwiano kati ya elimu na mshahara katika jamii ya Wachina. Anajenga hoja zake kupitia makala yake aliyoipa jina la 'Je, nani alaumiwe kwa kifo cha maskini Yang mwenye shahada ya uzamili?:

English

Blogger Hailing, who is sympathetic to Yang, muses about the asymmetry between education achievement and salary in Chinese society in her article who should bear the responsibility for poor postgraduate Yang Yuanyuan’s death?:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@Adel_Salib: mtu fulani anaweza kushangazwa kuwa polisi walikuwa wakishuhudia wakati waumini wa Shia walipokuwa wakiuliwa, wakati kwa upande mwingine miezi miwili iliyopita, polisi walishambulia Parokia.

English

@Adel_Salib: Someone is surprised that the police were watching while the Shia were being murdered when two months ago the police were attacking the Cathedral.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK