Ask Google

Results for kuvuja translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Watanzania kimsingi hawaridhishwi na suala la uwazi wa mikataba inayohusu rasilimali zao, tukio la kuvuja kwa hati ya makubaliano limechochea zaidi watanzania kutokuiamini serikali yao.

English

Tanzanians are not particularly pampered with regard to transparency around natural resources contracts, but this latest affair gives rise to even further mistrust.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@LaliSandi : Haikuwahi kutokea: #cuentasdelpp kuvuja kwa wingi na kusambaa katika mitandao ya intaneti katika vipande vidogo vidogo.

English

@LaliSandi : Never seen before: the #cuentasdelpp explode and spread over the internet in little pieces.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati kuvuja damu kwenye usiku wa harusi bado ni ushahidi wa heshima ya bibi harusi nchini Misri na nchi za Mashariki ya Mbali, Radio Uholanzi imetangaza tafsiri ya Kiarabu ya tangazo la Kichina la Kifaa cha Ngozi nyembamba ya kutengenezwa yenye kurudisha ubikra wa mwanamke.

English

While bleeding on the wedding night is still the proof of the bride's honor in Egypt and Middle Eastern countries, Radio Netherlands broadcast an Arabic translation of the Chinese advertisement of the Artificial Virginity Hymen kit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Sababu za hali hii ni kuvuja kwa kiambata cha mkataba rasmi uliofikiwa kati ya Statoil na serikali ya Tanzania kuhusu uchimbaji wa mafuta mkoani Mtwara, ulivuja, na kisha kugonga vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya Tanzania mapema mwezi Julai, 2014.

English

At the center of the matter is an addendum to Statoil’s original contract with the Tanzanian government for gas extraction in Mtwara Region that was leaked, then brought to the attention of the Tanzanian press in early July 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK