Ask Google

Results for kuwashawishi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Umma wa wapinzani upo, changamoto ni namna ya kuwafanya wafuasi wake waelewe mambo ili wawezi kuwashawishi.

English

The opposition mass is there, the challenge is simply to shake it out its stupor to then mobilize it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Swahili

Ili kuwa na mafanikio, hata hivyo, kwanza ni lazima wapate njia ya kuwashawishi raia juu ya umuhimu wake.

English

In order to be successful, however, they must first find a way to convince citizens of their usefulness.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Swahili

Wakati huohuo, vyama vya siasa pia vinatumia mtandao huu ulio maarufu zaidi katika kuwashawishi vijana wadogo wanaotarajiwa kupiga kura.

English

Meanwhile, political parties are also maximizing the popular social networking site to reach out to younger voters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Swahili

Wakasema, "Tunamshtaki mtu huyu kwa sababu ya kuwashawishi watu wamwabudu Mungu kwa namna inayopingana na Sheria."

English

Saying, This fellow persuadeth men to worship God contrary to the law.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kutimia kwa ndoto hii ndani ya muda uliopangwa kumeshindwa kuwashawishi wachambuzi wengi wa masuala ya kisiasa, kwa sababu tu changamoto zilizopo ni nyingi.

English

It’s a deadline that fails to convince many commentators, if only because the challenges are so great.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Swahili

Tokea siku ya kwanza, utawala ulijaribu kuwashawishi watu kuwa haya hayakuwa mapinduzi, ni magaidi tu au harakati tu za kiislam dhidi yenu.

English

From day one, the regime was trying to convince people that this is not a revolution-it’s just terrorists or an Islamic movement against you.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Swahili

Tutajaribu kuwashawishi kwamba ni muhimu kuchukua hatua ya haraka na kuchukulia matatizo yetu kwa umakini zaidi, na tutakemea kila kitu kitachoweka vikwazo kwa hili.

English

We are going to try to convince you that it is necessary to act fast and take our problems seriously, and we are going to denounce everything that imposes obstacles for this.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Swahili

Mmoja wa vijana hawa wadogo alikuwa akitafuta wenzake ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kung'amua mambo na kujaribu kuwashawishi waende nchini Syria.

English

One of these young men sought out weak-minded peers and tried to convince them to go to Syria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Swahili

Serekali ilijaribu kuwashawishi watu wasijihusishe na maandamano ya kupinga kuanzishwa kwa ofisi ya OIC; pamoja na ushawishi huu, maandamano yalifanyika Oktoba 15 katika majiji kadhaa nchini kote.

English

The government attempted to dissuade people from joining the protests against the setting up of an OIC office; despite this, they were held October 15 in several cities across the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Swahili

Tofauti na kile kilichokwisha tangazwa na vyombo vya habari vya kawaida, baadhi ya waandamanaji walijaribu kuwashawishi waandamanaji wengine ili wakusanyike pamoja; Kuna mageti mawili, na moja ya mageti hayo kulikuwa na kiasi kikubwa cha uharibifu wa mali.

English

Contrary to what the mainstream media has been broadcasting, some of the protesters were trying to mobilize others to go to Congress; There are two bridges/entries and one of them had a higher concentration of vandals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Get a better translation with human contributions

Help rating similar searches:

Users are now asking for help:

We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK