From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tukio hilo lilitokea tarehe 25 machi, 2013.
the incident happened on march 25, 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo hilo pia lilitokea naryn saa mbili kabla ya hili.
the same happened in naryn a couple of hours earlier.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tukio hilo la kutisha lilitokea jumapili mchana, mei 18, 2014.
the tragic event occured by noon on sunday, may 18, 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basi lilitokea tukio juu yake kutoka kwa mola wako mlezi, nao wamelala!
a calamity from your lord befell the orchard as they slept.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo hili lilitokea baada ya fkf ilipokaribia kabisa kuutupilia mbali huu mchezo.
this was after the then kenya football federation, kff almost threw the game to the dogs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
shambulio hilo lilitokea kama yadi 10 hivi (mita) nje ya shule huko kaskazini mwa gaza.
the attack occurred about 10 yards (meters) outside the school in northern gaza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
shambulio la anga karibu na hapa dakika chache zilizopita; hatujui lilitokea wapi lakini lilitisha.
an air raid nearby minutes back; we do not know where it was but it was so frightening.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tetemeko la ardhi lenye nguvu ukubwa wa 6.1 lilitokea nicaragua mnamo alhamisi aprili 10, 2014.
a powerful 6,1 earthquake hit nicaragua on thursday, april 10, 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tetemeko la kwanza lilitokea jioni ya jumapili tarehe 6 serikali na msalaba mwekundu wanatoa misaada kwa walioathirika na tetemeko la ardhi lakini sawa na hivyo serikali inapaswa kutoa majibu juu ya nini kilichotokea?
the first quake struck on the evening of sunday 6thgovernment and red cross are providing assistance to the victims of the earthquake but equally the government should also provide answers as to what happened?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
daktari wa ki-peru ni mmoja wa wahanga waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi lilitokea kenya: wizara ya mambo ya kigeni imethibitisha kwamba juan jesús ortiz...
peruvian physician among the mortal victims of terrorist attack in kenya: ministry of foreign affairs confirmed that juan jesús ortiz...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo hili lilitokea mnamo agosti 16, 2012 mjini islamabad katika mtaa wa meherabadi katika g-12 ambao ni mtaa mdogo wenye idadi kubwa ya watu masikini na ndiyo sehemu anayoishi msichana huyu pamoja na familia yake.
the incident happened on august 16, 2012 in the slum meherabadi in g-12, islamabad where she lives with her family.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: