Ask Google

Results for maandishi sahihi ya matangazo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Gharika ya matangazo ya biashara

English

bombardment with commercials

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tunaamini katika nguvu sahihi na taarifa sahihi ya hali ya wanablogu kutoka eneo kamili.

English

We believe in the power of accurate and factual reporting of the bloggers situation from the ground.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mnyama Tony ni katuni ya matangazo kwa ajili ya bidhaa ya vitafunwa vya Kellogg, inayoonekana kwenye vifuko na matangazo yake.

English

Tony the Tiger is the advertising cartoon mascot for Kellogg's Frosted Flakes breakfast cereal, appearing on its packaging and advertising.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hatujajidai kumiliki kitu hiki au kudai eti tuliandika makala. Hii ndio maana mradi huu unajitahidi kuweka majina ya sahihi ya wachangiaji kwa kila makala.

English

We never pretend that we own this stuff or that we wrote the articles, this is why this project strives to make the correct attributions to each and every article

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Blogu hiyo inakusudia kutangaza vyema sura sahihi ya Somalia kwenye vyombo vya habari na vipaji vya watu wake, masuala ya urembo na raslimali asilia.

English

The blog aims at promoting a more accurate media image of Somalia and the potential of its people, beauty and natural resources.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hata hivyo, kama ilivyopendekezwa na Chan Nim, masuala ya namna hii yanaachwa kwa mtu mwenyewe na dhamiri yake hasa kuhusu matumizi sahihi ya teknolojia hizi zinazoibuka.

English

However, as suggested by Chan Nim, the issue is left to the conscience of the people on the proper use of technologies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ninaamini kuwa ilikuwa nidhamira chanya ya Edom ya kuleta mageuzi sahihi ya siasa hafifu ya Ethiopia ambayo pia ilipelekea yeye kuwa karibu zaidi na wanajumuia wa kublogu wa Zone9.

English

I believe it was Edom’s willingness to bring about a gentle change in Ethiopia’s polarized political environment that suggested an affinity between her and the Zone9 blogging collective.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika Russia Today, idhaa ya matangazo ya Kirusi, mada hii inatajwa panapojadiliwa suala la watoto kuzaliwa na kulelewa katika mfumo wa magereza wa Kirusi:

English

In Russia Today, a Russian broadcasting channel, the subject is mentioned when discussing children born and raised in the Russian correctional system:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"Bila ya kuwa na vielelezo sahihi ya vina vya mafuriko katika sehemu zinazoathirika mara kwa mara vitakavyosaidia mipango ya baadaye na pia utekelezaji wa miradi, tutaendelea kuwa na matatatizo yasiyo ya lazima yanayotokana na utekelezaji dhaifu wa vyombo husika.

English

“Thus unless we have proper records of flood levels in flood prone areas to guide future planning and implementation of projects, we will have more unnecessary problems due to poor implementations by the respective agencies involved in future.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Mashirika mengi ya habari jijini Hong Kong, jimbo maalumu ya kiutawala la China, yamekuwa na hofu ya kupoteza mapato ya matangazo ya ki-Biashara kutoka bara China au kuogopa kuikasirisha serikali ya Beijing.

English

Many news organizations in Hong Kong, a special administrative region of China, were already fearful of losing advertising revenue from their business ties in the mainland or angering the Beijing government.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Meena ameshatoa ujumbe wa kupinga ndoa za utotoni na utamaduni wa utoaji mahari, ikiwa ni pamoja na kupigia chapuo matumizi sahihi ya vyoo, kuwapeleka watoto wa kike shuleni, usawa wa kijinsia miongoni mwa watoto wa kike na wa kiume pamoja na haki ya elimu kwa wafanyakazi wa ndani.

English

Meena has spread messages to stop child marriage and the practice of dowry and promote healthy toilet use, sending girls to school, equality between boys and girls and the right to education for the domestic workers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wale wanaoukosoa wimbo huu kwa mtazamo wa kimuziki wapo sahihi kabisa. lakini wanatakiwa kupata tafsiri sahihi ya wimbo huu: wimbo huu umefanikiwa kuwakilisha angalao hisia za watu wa Tunisia, bila kujali kama wanatokea mitaa ya watu masikini au wanaishi maisha yanayozungumzwa katika wimbo huu au vinginevyo...

English

Those who criticize the song from a musical perspective are totally right. But, they need to see what is beyond the piece: the work has succeeded in transcribing part of what Tunisians feel, whether they come from poor districts or not and whether they are living the everyday life described in the song or not...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Daraja blog alikuwa mwepesi kutengeneza orodha sahihi ya 'vyanzo muhimu', ikiwa ni pamoja na tamko la Baraza la Habari Tanzania na tamko la Baraza la Habari Duniani, lakini pia Daraja alifanya uchambuzi wa kina -akitaja bayana kwenye kichwa cha habari kwamba 'mstari umevukwa'.

English

Daraja blog was quick to produce a factual list of 'key sources', including links to Tanzania's Media Council's statement and the World Association of Press Council's statement, but Daraja also did a thorough analysis - stating in the headline that "a line has been crossed".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Lengo la mradi ni kuwezesha kutengenezwa kwa mtandao unaofanya kazi wenye wanachama wenye ujuzi ili kusababisha mabadiliko ya mitazamo na mienendo ya kimila, ikiwa ni pamoja na sera na mbinu za kupambana na kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia (Lengo ni) kutengeneza wataalam muhimu 50 wa ngazi za chini na kuwajengea uwezo wa mbinu za kuhakikisha jinsia inazingatiwa wakati wa kuanzisha miradi na program kila mwaka, na Asasi Zisizo za Kiserikali kufikia malengo yake kwa kuwahamasisha waratibu wake kuwezesha matumizi sahihi ya mbinu (kujifunza zana na kutambua maeneo ili kutambua hatua zinazotakikana za kijinsia).

English

The aim of the project is to enable the creation of a functional network with competent members in order to influence traditional attitudes/practices, as well as local policies and strategies which fight against gender inequalities (The objective is to) create 50 local key players with strategies to ensure gender is taken into account when launching projects and programs each year, and for the NGO to get closer to its targets by organising supervisors to facilitate the effective application of the approach (learning the tools and identifying pertinent gender actions).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pamoja na kuwa mimi bado ni mdogo kiasi cha kushindwa kupiga kura (lakini nimeshakuwa na maamuzi sahihi ya kupiga kura kwenye uchaguzi unaofuata), mitandao ya kijamii kwa hakika imenifundisha mengi kuhusiana na hali ya kisiasa iliyopo hivi sasa na hivyo kuweza kujiandaa kuchagua chama ambacho ninafikiri na kuamini kuwa kitakuwa na manufaa kwa jamii yetu.

English

Information sharing has become viral not only during the start of the elections To my memory, this trend started since the mid or late 2011 when Facebook users began sharing information that are not accessible via the traditional media such as TV or radio. Although Sovichet is still young and could not yet vote, he believes that information sharing through the Internet can help him make an informed decision in the next election: Although I am too young to vote (But I can already vote in the next election), social media has clearly educated me about the current situation so that I could be well prepared to choose a party that I think and hope would prove to be good for our society.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK