Ask Google

Results for mabaki translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Tulipowasili, mbwa alikuwa akila mabaki ya maiti.

English

When we arrived, a dog was eating what was left of a corpse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Watu wakala, wakashiba. Wakaokota mabaki yaliyosalia wakajaza makapu saba.

English

So they did eat, and were filled: and they took up of the broken meat that was left seven baskets.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika video hiyo, si rahisi kutambua sehemu yoyote ya ndege hiyo kwenye mabaki hayo.

English

In the video, it is virtually impossible to identify the key components of the aircraft amid the debris.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wanaweza kukuta mabaki ya keki maarufu ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwenye chupa za vikopo vilivyotumika kutenengeneza mabomu

English

@ConorMWalsh @LanceGuma they may find traces of a familiar birthday cake on the bottles & canisters used to make the bombs — Webster Madanhi (@FreedomTrapped) February 25, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Watu wote wakala, wakashiba. Kisha wanafunzi wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu kumi na viwili.

English

And they did all eat, and were filled: and they took up of the fragments that remained twelve baskets full.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Rais Mahmoud Abbas alitoa taarifa iliyosema kwamba mamlaka ya Palestina haikuona sababu ya kufukua mabaki yake.

English

President Mahmoud Abbas made a statement saying that the Palestinian Authority "saw no reason" why the body should not be exhumed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu elfu nne, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki?

English

Neither the seven loaves of the four thousand, and how many baskets ye took up?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ujasiri wa mashujaa hao ulionekana pale walipokikabili kiwanda cha mabaki ya viumbe wa kale, ambacho kinaathiri makazi yao.

English

The courage of the warriors was on full display as they faced off with the fossil fuel industry, which is threatening their homes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Makala hayo yalikamilika kwa Mjane wa Yasser Arafat, Suha Arafat kuomba mamlaka ya Palestinia ifukue mabaki ya marehemu ndio uchunguzi uendelelee.

English

In a similar vein, Rami Khrais tweeted: The biggest blow to the Palestinian Authority - besides Suha Arafat's request for an examination for poison in her husband's remains - is the report pointing out that no investigation took place after his death. The documentary ended with Yasser Arafat's widow Suha Arafat requesting that the Palestinian Authority exhume her late husband’s body so the investigation could be continued.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mabaki ya watu waliouawa wakati wa vita vya kikoloni (kwenye karne ya 20) yalirudishwa Namibia na Ujerumani mwezi Machi.

English

Human remains who were killed during the colonial war (early 20th century) were returned to Namibia by Germany in March.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nimeangalia mara nyingi kwa tafakuri kwenye meno yangu kama kuna mabaki ya mboga za majani; labda nafanyiwa utani mimi mwenyewe?

English

I have often mentally checked my teeth for visible spinach; perhaps the joke is on me?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kifaa cha kutafutia mabaki ya ndege iliyopotea kikiwa bahariniUkurasa rasmi wa Flickr wa Jeshi la Majini la MarekaniWaziri Mkuu wa Australia Tony Abbott hayuko peke yake katika kuusaka umaarufu wa kimataifa.

English

Ocean Shield deploys the Bluefin 21 underwater vehicleOfficial U.S. Navy Flickr Page Australia’s current Prime Minister Tony Abbott is not alone in courting international celebrity status.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Majeneza yaliyobeba mabaki ya miili ya polisi hao yaliwasili kwenye uwanja wa ndege wa Villamor baada ya kusafirishwa kutoka Mamasapano, mji ulio kusini mwa Ufilipino, Maguindanao.

English

The coffins carrying the remains of the dead policemen arrived at Villamor Airbase after being flown all the way from the southern Philippine town of Mamasapano, Maguindanao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati hakuna maisha yaliyopotea, janga hilo liliacha “sura ya kusikitisha” ya mabaki ya nyumba ambayo wazima moto walijaribu bila mafanikio kuyaokoa kwa masaa matatu.

English

While no life was lost, the disaster left behind “the depressing spectacle" of the ruins of a house which firemen had tried in vain to salvage in three hours.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Katika miaka 20 iliyopita, waandishi wa habari 670 wameuawa katika Amerika ya Kusini na Caribbean,kwa mujibu wa wajumbe kutoka muungano wa IFEX-ACL, ambayo hivi karibuni iliwasilisha Ripoti ya Mwaka juu ya Ukatili 2013 iliyosema: "Nyuso na Mabaki ya Uhuru wa Kujieleza Amerika ya Kusini na Caribbean."

English

In the last 20 years, 670 journalists have been killed in Latin America and the Caribbean, according to delegates from the IFEX-ACL alliance, which recently presented their Annual Report on Impunity 2013: "Faces and Traces of Freedom of Expression in Latin America and the Caribbean."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kayhan, gazeti lililo na uhusiano na kiongozi mkuu wa Kidini, Ayatollah Khamenei, katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha picha ya kijana wa Yemen wa Kihouthi akiwa amekalia kitu ambacho kilionekana kama mabaki ya roketi yaliyotokana na mashambuli ya anga ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya wapiganaji wa Houthi.

English

Kayhan, a newspaper associated with Supreme Leader Ayatollah Khamenei's office, published their frontpage with the photo of a young Houthi Yemeni boy sitting on what seems to be rocket that remains from the Saudi Arabian airstrikes against Houthi fighters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mhanga huyu alikuwa na umri wa miaka 37 na kifo chake baada ya kuteswa vibaya katika kituo cha polisi katika mji wa kale wa Salé ulio karibu na jiji la Rabat, ni jambo ambalo wanablogu wengi wanalichukulia kuwa mabaki ya enzi za Miaka ya Chuma, ambazo zilikuwa kipindi kibaya cha utawala wa Mfalme Hassan II, ambapo ukatili wa polisi na utesaji uliopangwa na kufanywa na vyombo vya dola ulikuwa wa viwango vya kutisha na ambao raia wa Moroko walilazimika kuuishi.

English

The victim was 37 years old and his brutal death in a police station in the old city of Salé, near the capital Rabat, is for many bloggers, reminiscent of the Years of Lead, the dark era of the previous regime of King Hassan II, when police brutality and torture perpetrated by state agents was a horrifying reality Moroccans had to live with.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwaka 2011, mkazi mwingine wa Ghazni aliye na kipaji, bila hata ya kupata mafunzo yoyote au vifaa maalum, alipaisha ndege aliyoiunda kwa kutumia mabaki ya mkokoteni wa matairi mawili unaokokotwa na binadamu na pia kwa kutumia mabaki ya gari aina ya Toyota iliyokuwepo katika bustani yake.

English

In December 2011, another talented resident of Ghazni, without any special training or tools, flew an aircraft he had built from bits of rickshaw and a secondhand Toyota car in his garden.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Namba ya dharura 71207326 kwa ajili ya taarifa & maswali kwa familia za waliodhurika/namba ya dharura 1701 ili kutoa habari za mabaki na miili inayoonekana #ET409 #Lebanon

English

Hotline 71207326 for info & inquiries by the Victims families / Hotline 1701 to inform of any wreckage of bodies sighting #ET409 #Lebanon

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Nilishtushwa sana baada ya kusoma kipande kidogo tu cha habari hiyo.Mwezi Februari, 2010 moto mkali ulioelezwa kama ‘wa ghafla na haraka” uliteketeza makazi ya Rais wa zamani Jerry Rawlings na haukubakisha kitu chochote kilichoweza kuokolewa kutoka kwenye mabaki ya moto huo.

English

I became totally shocked after reading just part of the story. In February, 2010 an intense fire described as "rapid and fast" razed to ashes the residence of former President Jerry Rawlings with nothing to salvage from the debris.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK