From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kuleta mahitaji ya ujenzi
digging up the foundation
Last Update: 2023-05-09
Usage Frequency: 1
Quality:
miili yote ilikuwa ya vijana.
they were all young.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mahitaji ya kuvaa barakoa ukiwa kwa umma
requirement to wear a face mask in public
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
upendo wa mungu upendo watu kukidhi mahitaji ya
the love of god love people meet the needs of
Last Update: 2025-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kutosheleza mahitaji ya umeme wa viwanda vya nchi hiyo:
she is concerned that the electricity produced will mainly prioritize the needs of cameroon’s industries :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya sera zinapendekezwa kama hatua nzuri ya kukabiliana na mahitaji ya afya ya akili na ya mwili kwa vijana.
some policies are suggested to better respond to the mental and overall health needs of adolescents.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
dunia haijaweka mkazo vya kutosha kwenye afya ya vijana.
the world has not paid enough attention to the health of adolescents.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mamia ya vijana kutoka pakistan walijiunga na kampeni ya kupinga ubakaji.
hundreds of young men from pakistan started standing up to join the hashtag campaign.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nimeona idadi endelevu ya vijana wanaotumia facebook kwa ajili ya kutafuta mabadiliko.
i have seen the increasing number of young people who are using this social platform for change.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
walikuwa wakiuza mali na vitu vyao kisha wakagawana fedha kadiri ya mahitaji ya kila mmoja.
and sold their possessions and goods, and parted them to all men, as every man had need.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
basi hawakumuamini musa isipo kuwa baadhi ya vijana vya kaumu yake, kwa kumwogopa firauni na wakuu wao wasiwatese.
but no one believed moses, except [some] youths among his people, for fear of pharaoh and his establishment that they would persecute them.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
inajulikana kama "door waar," na ina umuhimu wa kimsingi katika maisha ya vijana wasenegal.
he was glad because he made some good profits with this new work, i had a better understanding of the informal sector here, commonly known as "door waar " which plays a fundamental role in the lives of senegalese youth .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hakuna vikomo vya viwango vilivyotangazwa; ukusanyaji na uchakataji wa sampuli lazima ufanywe kulingana na mahitaji ya cdc.
no quantity limitations were announced; specimen collection and processing must be performed according to cdc requirements.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha kilimo cha uyoga nchini kenya
due to public demand, we took the initiative of compiling a guide to help farmers interested in starting mushroom farming in kenya
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@flintza: je mnakidhi vipi mahitaji ya nishati ya afrika ya kusini huku mkiwa mnadhibiti nyayo za gesi ya ukaa.
how do you plan to meet sa power needs while limiting our carbon footprint.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
imetosha pia inatosha kwa sababu sehemu kubwa ya vijana wapatao milioni 1.4 wenye umri wa kupiga kura hawatajiandikisha kwenye daftari ya wapiga kura.
enough is also enough because the majority of the 1.4 million young people of voting age will not register on the electoral roll.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basi hawakumuamini musa isipo kuwa baadhi ya vijana vya kaumu yake, kwa kumwogopa firauni na wakuu wao wasiwatese. kwani hakika firauni alikuwa jeuri katika nchi.
but none believed in moses except some children of his people, because of the fear of pharaoh and his chiefs, lest they should persecute them; and certainly pharaoh was mighty on the earth and one who transgressed all bounds.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
@olayadotel: hawa watu wala rushwa wanaotamba wapendavyo serikalini hawana haki yoyote kumwaga tone la damu ya vijana wetu ... si moja zaidi!!!
@olayadotel: these corrupt individuals in control of the state are not worth a drop of the blood of our young people...not one more!!!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
'wakulima' ambao mheshimiwa rais anataka kutoa simu za mkono kwao ni wakulima ambao huzalisha chakula kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya chakula majumbani mwao.
the 'farmers' mr. president wants to provide handset for are subsistent farmers who produce what they mostly consume in their homes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa waziri wa mambo ya vijana wa uganda ronald kibuule, wanawake wanaovaa mawazi yasiyositiri miili yao wanaomba kubakwa, na watuhumiwa wanaodaiwa kuwabaka wanawake waliovaa namna hiyo waachiliwe huru.
according to uganda's youth affairs minister ronald kibuule, women who are dressed indecently are asking to be raped, and suspects who have raped such women should be released.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: