Ask Google

Results for mahojiano na mashauri ya kifalme translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

to Maana ya kifalme

English

kwa maana ya royal

Last Update: 2016-12-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ni nchi ya kifalme inayoendeshwa kidemokrasia.

English

It is a constitutional monarchy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Podikasti: Mahojiano na Sudanese Drima

English

Podcast: Interview with Sudanese Drima · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Uganda: Je, Uganda inageuka kuwa dola ya kifalme?

English

Uganda: Is Uganda Becoming a Monarchy? · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Jamhuri Ya Kidemokrasi ya Kongo: Mahojiano na Kabila Yaamsha Gadhabu

English

D.R. of Congo: Furor Over Kabila's New York Times Interview · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nchi hiyo ya kifalme imechukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la msongamano wa magari barabarani

English

The Kingdom takes serious measures to end traffic chaos

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika mahojiano na radio Deutsche Welle Mohiuddin alisema kuwa hatakata tamaa kublogu.

English

In an interview with Deutsche Welle radio Mohiuddin has said that he will not give up blogging.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika maandishi, picha za maafa ni mbadala na mahojiano na waathirika, ambao wanajadiliana juu ya janga na kutazamia siku zijazo.

English

In the documentary, images of the disaster alternate with interviews to the survivors, who talk about the tragedy and their look towards the future.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Prothmann anaeleza katika mahojiano na blogu ya Dakaroiseries namna alivyojikuta akifanya kazi hii isiyo ya kawaida katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi:

English

There was a prevailing line of thinking that suggested that a white person must be selling good quality products .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Miezi kadhaa iliyopita nilifanya mahojiano na vyombo vya habari na kusema kuwa, vijana wnatumia Facebook kwa ajili ya burudani tu na mambo yao binafsi.

English

Several months ago I made an interview with media saying that young people (are only) using Facebook for entertainment and their own interest.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwanye mahojiano na Deutsche Welle Syeda Gulshan Ferdous Jana, muasisi wa Somewhereinblog.net alisema:

English

In an interview with Deutsche Welle Syeda Gulshan Ferdous Jana, founder of Somewhereinblog.net said:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Muda mwingi, waandishi waliokuwa mstari wa mbele ndio wanaowajibika kwa mahojiano na kurekodi kile kinachotokea kwenye eneo la tukio.

English

Most of the time, the reporters on the front-line are only responsible for interviews and recording what happens onsite.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Bahrain inaonekana kuiiga Saudi Arabia, ambayo tayari imepiga marufuku matumizi ya huduma ya Viber katika nchi hiyo ya kifalme.

English

Bahrain seems to be taking the cue from Saudi Arabia, which has already banned the use of Viber in the Kingdom.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Baba yangu kapokea simu kadhaa - pamoja na ile wakati tulipokwa tunamaliza mahojiano na CNN, tulikuwa tukitumia Skype.

English

My father has received a number of calls – including one as we finished another CNN interview, and we were on skype.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika mahojiano na mtandao wa inmediahk.net, wanasema wanapenda wanyama na kuwa wangependa kuwasaidia kusema ili kumaliza kuuawa kwa tembo.

English

In an interview with inmediahk.net, they said that they love animals and wanted to stop the massive killing of elephants by helping to give them a voice.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akamwokoa katika taabu zake zote. Mungu alimjalia fadhili na hekima mbele ya Farao, mfalme wa Misri, hata Farao akamweka awe mkuu wa ile nchi na nyumba ya kifalme.

English

And delivered him out of all his afflictions, and gave him favour and wisdom in the sight of Pharaoh king of Egypt; and he made him governor over Egypt and all his house.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Video hii inajumuisha nembo ya ISIS, sehemu ya mahojiano na rubani huyo, habari za kukamatwa kwa rubani huyu pamoja na picha za vita.

English

The video features ISIS logos, cutaways to an interview with the pilot, news broadcasts on the pilot’s capture and images of war.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Blogu hiyo ina sehemu kwa ajili ya mashairi yanayoanndikwa na washairi kadhaa wa Kiafrika, mahojiano na washairi, waandishi vile vile na habari na taarifa juu ya washairi wa kimataifa na waandishi hali kadhalika.

English

The blog features poetry by various African poets, interviews with poets, writers as well news and information on world renowned poets and writers alike.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika mahojiano na televisheni ya Angola, mwanzoni mwa mwezi Januari, Profesa huyo alizungumzia hali ya mambo nchini Guinea-Bissau baada ya kifo cha Rais Malam Bacai Sanhá.

English

In an interview with Angolan television, at the beginning of January, the professor spoke about the situation in Guinea-Bissau after the death of President Malam Bacai Sanhá.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Lakini siku hizi, kwa sababu ya mtandao wa intaneti, si raia wa nchi hiyo tu wanaoona picha za miili hiyo na hiyo inaongeza nguvu madai ya jumuiya za kimataifa kwamba nchi hiyo ya Kifalme ni ya kikatili.

English

But nowadays, as a result of the internet, it is not just the Saudi public that sees them and this reinforces international perceptions that the kingdom is barbarous.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK