From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ujumbe mahsusi unaohusu hadhira y’a petro
peace lovers
Last Update: 2023-04-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuna chanjo au matibabu mahsusi ya virusi hivi vya korona.
there is no vaccine or specific treatment for the novel coronavirus.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatukutoka na mpango mahsusi wa kuitawala dunia – au hata mradi thabiti.
we did not emerge with a concrete plan for world domination - or even for a coherent project.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kufuatia shambulizi hilo la kusikitisha, ushahidi wamekuja na zana mbili mahsusi kwa dharura .
following the horrible attack, ushahidi has come up with two tools for emergencies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tumeshirikiana nao kuwapa ushauri mahsusi kwa maeneo yanayolengwa kuhusu namna ya kutunga ujumbe unaoeleweka na unaokubalika kiutamaduni.
we have also shared local advice on how to craft messages that clear and culturally appropriate.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kujenga jamii ya tamaduni mbalimbali na lugha mbalimbali inayomakinikia miradi mahsusi inayounganishwa na seti ya maadili ya kiutu ni jitihada ndogo katika mwelekeo huo.
building a multi-cultural, multi-lingual community focused on specific projects underpinned by a core set of humanistic values is just one small effort in that direction.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kongamano lilifunguliwa kwa namna mahsusi iliyowagusa watu kwa wanajamii wa global voices kusoma tamko la kushinikiza kuachiwa huru kwa wanahabari wa mtandaoni na wanaharakati waliofungwa jela.
the proceedings opened, movingly and appropriately, with a statement read by global voices members calling for the release of jailed online media workers and activists.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa makadirio ya 2015, shirika la unhcr lilionesha matarajio yake kwa mpango huo mahsusi kwa wakimbizi wa afghani, iraq na pakistani kama inavyooneshwa kwenye picha ifuatayo.
for their 2015 projection, the unhcr detailed their expectations for iran's intake for mostly afghan, iraqi and pakistani refugees as outlined in the image below.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuna mzazi atakayeweza kuwa na udhibiti mahsusi juu ya pahali ambapo mwanae atajifunza kuhusu ngono na jinsi ninavyoona mimi mzazi mwenye busara atapenda mwanae apate elimu hiyo kutoka kwenye shule na kutoka kwa mwalimu aliyefuzu vizuri kuliko kujifunza kuhusu hilo toka kwa watoto wenzie nyuma ta mti.
no parent is going to have absolute control over the places their children are going to learn about sex and it seems to me that a wise parent would at least want his or her children to be exposed to proper sex education by trained teachers in a controlled school setting rather than learning about sex from a peer behind a tree.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama kanuni msingi, tumia maudhui ya matangazo ambayo ni wazi, yaliyo na maelezo na mahsusi yanayoangazia sifa za kipekee za bidhaa au huduma yako. unaweza kutofautisha tangazo lako kwa kujumuisha jina la kampuni yako, aina ya biashara, au kwa kuangazia bidhaa moja mahsusi. kama unatoa huduma au bidhaa ya eneo lako, huenda ukataka kuashiria eneo lako katika tangazo lako.
kama kanuni msingi, tumia maudhui ya matangazo ambayo ni wazi, yaliyo na maelezo na mahsusi yanayoangazia sifa za kipekee za bidhaa au huduma yako. unaweza kutofautisha tangazo wako kwa kujumuisha jina la kampuni yako, aina ya biashara, au kwa kuangazia bidhaa moja mahsusi. kama unatoa huduma au bidhaa ya eneo lako, huenda ukataka kuashiria eneo lako katika tangazo lako.
Last Update: 2023-07-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: