Ask Google

Results for mandhari translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Lipo pale ili kutengeneza mandhari yenye kelele.

English

It is there to get the atmosphere buzzzzing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mandhari ya nje kutokea Uwanja wa Kimataifa wa Bahrain.

English

View from Bahrain International Airport.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni kwa sababu wanaharibu kabisa mandhari inayoendeana na pambano.

English

It's because they absolutely, completely, utterly destroy the game-related atmosphere at the matches.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pia anataja matatizo ya kufanya uchunguzi kwa mandhari yasiyofaa:

English

He also mentions the challenges of screening in poor settings:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mmoja wao anachukia “dubwana lile” kwa sababu linaharibu mandhari ya mchezo:

English

One of them hates "the damn thing" because it destroys the game atmosphere:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kuhusu swala la kuchuja michoro ya kuchekesha (vikatuni) vyenye mandhari ya kebehi

English

On the issue of censorship of satirical cartoonists

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Sanaa ya michoro ya kuchekesha (vikatuni) yenye mandhari ya kusanifu ni sanaa muhimu.

English

Satire is important. But they should adhere to same code of ethics as any other journalist.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mtazamo anaotoa mwanablogu wa kufananisha nyimbo za Liverpool na mandhari ya samba huko Brazil uko karibu na utaahira.

English

The argument the blogger is making about comparing Liverpool songs and Brazil's samba atmosphere borders on retarded.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Milio ya bunduki na milipuko inaiwamba mandhari ya anga jeusi yenye miungurumo ya ndege za kijeshi zisizoonekana na pia helikopta za kijeshi.

English

The gunfire and explosions are framed against a background of a blackened sky buzzing with invisible war planes and attack helicopters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hii ni Afrika na tunajulikana kwa kucheza na kuimba na kwa kawaida kwa kutengeneza mandhari nzuri katika mechi zetu za mpira wa miguu.

English

This is Africa and we are renowned for dancing and singing and generally creating a great vibe at our football matches.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwenye televisheni matarumbeta yanaingiliana na utangazaji, pamoja na mambo mengine, lakini uwanjani hali ya kelele ni sehemu ya mandhari.

English

On TV the horns conflict with the commentary, among other things, but in the ground the ambient noise is part of the atmosphere.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Window ya Challenge ya tatu ni wazi. Changamoto itajumuisha mandhari tatu hadi tano. Timu ya Innovation Challenge timu itaendeleza mandhari hizi kwa kushauriana na wadau wa Tanzania.

English

The third Challenge Window is open. The Challenge will include three to five themes. The DLI Innovation Challenge team will develop these themes through consultation with relevant Tanzanian stakeholders.

Last Update: 2017-12-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Baadhi ya familia zilikuwa zikijenga mahema katika barabara kuu na labda kwa sababu zaidi ya nyumba zilizokuwa zimejengwa kwa vifaa vyepesi, mandhari ilikuwa ya kufadhaisha.

English

Some families were setting up tents in the highway and maybe because most of the houses were made of light materials, the sight was heartbreaking.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nunua viziba masikio kutoka kwenye duka la muziki –utaweza kufurahia mandhari, hata kama patakuwa na vuvuzela linalopigwa pembeni ya sikio lako.

English

Buy ear plugs from a music store - you’ll still be able to enjoy the atmosphere, even if you find a vuvuzela positioned right next to your ear.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwandishi, Aldous Huxley, aliandika kwa umaarufu juu ya Ziwa Atitlán, ”ziwa Como, kwangu mimi naliona kama, linagusa upeo unaoruhusiwa katika uzuri wa mandhari, lakini Atitlán ni Como (eneo zuri la milima na maziwa asili yaliyotokana na volkeno) yenye vikorombwezo kadhaa vya volkeno.

English

The writer, Aldous Huxley, famously wrote wrote of Lake Atitlán,"Lake Como, it seems to me, touches on the limit of permissibly picturesque, but Atitlán is Como with additional embellishments of several immense volcanoes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Tunajifunza juu ya Yasmina, mwanafunzi wa zamani wa Profesa Youseff na mhudumu kwenye mgahawa wa Sea Breeze, na Yazan, mpishi asiyejali, yote yakiwa katika mandhari ya ufukweni mwa mji Tartous, pamoja na uandishi maridhawa wa Abu Fares na Mariyah.

English

We learn about Yasmina, Prof. Youssef's former student and the waitress at Sea Breeze, and Yazan, the nonchalant chef, all to the backdrop of Tartous' marvelous sea side, and Abu Fares' and Mariyah's exquisite writing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK