Ask Google

Results for mgomo wa madereva translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Wakati amekamatwa, alifanya mgomo wa kula.

English

In detention, she started a hunger strike.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mgomo wa Nchi Nzima Wamshitua Rais wa Malawi

English

Nationwide Strike Delivers Blow to Malawi's President · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mgomo huu wa sasa unafuatia mgomo wa madaktari uliofanyika mapema mwaka huu.

English

This current strike follows a strike earlier this year by doctors.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Chile: Mahabusu wa Mapuche Wamaliza Mgomo wa Kutokula Uliodumu kwa Siku 60

English

Chile: Mapuche Prisoners End Hunger Strike After 60 Days · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati huo huo, mwanablogu Punngey aliweka mawazo yafuatayo katikaTumblr kufuatia kusitishwa kwa mgomo wa kutokula:

English

Meanwhile, Mapuche blogger Punngey posted the following thoughts on Tumblr regarding the end of the hunger strike:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mpaka majuma machache yaliyopita, Maryam Al Khawajah na Alaa Abd El Fattah walikuwa kwenye mgomo wa njaa gerezani.

English

Up until a few weeks ago, Maryam Al Khawajah and Alaa Abd El Fattah were on hunger strike and in jail.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kabla ya kuondolewa kwa kesi mahakamani , wana blogu walikuwa wanapanga kuanzisha mgomo wa kutonunua bidhaa za shirika la Sony.

English

Before the withdrawal of the case, bloggers were planning to launch a boycott campaign against Sony Corp. Yari NK is happy with the decision of the firm to drop the case It is wise for Sony Corp. to drop the claim since it does not make sense in almost any way that one has to stop using his own name for his personal non-commercial site.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwaka jana alishiriki katika mgomo wa kula uliodumu kwa muda wa siku 56 akiwa na wanafunzi wengine wanne wakidai haki ya kurejeshwa shuleni.

English

He was involved last year in a 56-day hunger strike with another four students demanding their right to go back to school.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakijibu ghasia zinazofaywa na polisi, Shirikisho la Vyama wa Wanafunzi wa Chuko Kikuu lilitoa wito wa mgomo wa kuingia madarasani wiki hii.

English

In addition, the police instructed the metro company to shut down the Admiralty station in order to deploy more riot police to back up the crackdown.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Maelfu ya wafungwa wa kisiasa Kikurdi wamekuwa katika mgomo wa kutokula nchini Uturuki tangu Septemba 12 na jumuiya ya kimataifa bado iko kimya.

English

Thousands of Kurdish political prisoners have been on hunger strike in Turkey since Sept 12 and the International community remains silent.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Walimu hao wamekuwa wakihamishwa kuwaadhibu wale wote walioshiriki katika mgomo wa mwaka uliopita kushinikiza kuboreshwa kwa mazingira ya kazi katika sekta ya elimu.

English

The transfers were made to punish teachers who participated in last year's strikes demanding the improvement of the conditions of employees in the education sector.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa jamii ya kitaifa na jumuiya ya kimataifa na vyombo vya kutetea haki za binadamu kudai usalama wa watu wanaohusika na kila msemaji wa mgomo wa kitaifa..

English

To the national and international community and to human rights advocate entities to demand for the safety of people taking part and every spokesperson of the national strike.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nchini Misri, baadhi ya wafungwa wanaofanya mgomo wa kula wamekuwa magereza tangu maandamanaji yanayopinga utawala wa nchi hiyo mnamo Januari 25, 2011.

English

In Egypt, some hunger strikers have been in jail since anti-regime protests broke out on January 25, 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tovuti ya 'kongamano la watu' imeshutumu hadharani uvunjifu wa haki za binadamu unayoendelea katika mgomo wa kilimo nchini Colombia.

English

The website People's Congress publicly denounces human rights situation during the ongoing agrarian strike in Colombia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Chombo cha habari cha Al Jazeera ndicho cha pekee kilichokubalika kama chombo cha kikuu cha habari cha kimataifa kilicho onyesha kiwango cha mgomo wa kutokula.

English

Al Jazeera’s The Stream has been the only internationally acknowledged mainstream outlet that has highlighted the gravity of the hunger strike.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Maryam kwa sasa yuko Copenhagen, hana nafasi ya kumwona baba yake, ni mwanaharakati wa Bahrain aliyekuwa kifungoni akiongoza mgomo wa kula mara mbili tangu mwaka 2011.

English

Maryam is currently in Copenhagen, unable to see her father, a leading Bahrain activist who has been behind bars and on hunger strike twice since 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwaka 1985, Khusta alisaidia kuukomesha ubaguzi wa rangi kwa kuandaa na mgomo wa kununua bidhaa za makaburu mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.

English

In 1985, Khusta helped end racial apartheid by organizing a consumer boycott in Port Elizabeth, South Africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Zaidi ya wafungwa wa kisiasa wamekuwa kwenye mgomo wa kula nchini Bhrain kupinga kuteswa magerezani, tangu Februari 14, 2011, maandamano yalipoanza.

English

More than 600 political prisoners have gone on hunger strike in Bahrain to protest being tortured in prison, since February 14, 2011, when anti-regime protests started.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Rais Sebastián Piñera alizungumzia mgomo wa kutokula wakatialipotembelea jamii ya watu wanoishi pamoja ya Ercilla mapema mwezi Oktoba, aliporejelea sera ya muda mrefu kuhusiana na migogoro ya jamii hizi:

English

President Sebastián Piñera spoke about the hunger strike during a visit to the Ercilla commune this October, echoing the government's long-standing policy towards the clashes with these communities:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Huu ni mgomo wa pili katika sekta hiyo kufanyika nchini humo kwa mwaka 2013, isipokuwa tu wakati huu mgomo wa madaktari umepanua wigo wake na kujumuisha wataalamu zaidi wa afya na umeendelea kwa juma la pili sasa.

English

It is the second strike of the sector to take place in the country in 2013, only this time the protest of the doctors has expanded to more health professionals and has extended now for a second week.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK