From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
misa furaha
padre nuestro
Last Update: 2016-09-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Shambulio hilo lilifanyika wakati Wakristo hao walipokuwa wakitoka kanisani mara baada ya misa ya Krismas.
Their mission was to console the families of the victims and to take a stance against sectarianism.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Katika moja ya video hizo, mkazi wa Katine John Ogalo anawaonyesha watazamaji kaya yake na anahudhuria misa kanisani.
In one, Katine resident John Ogalo shows viewers his homestead and attends a church service.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Dayosisi kadhaa zimependekeza Wakristo wazee kukaa nyumbani bali wasishiriki katika Misa Jumapili; kanisa zingine zimefanya ibada ya kanisa kupatikana kupitia redio, utiririshaji wa moja kwa moja mtandaoni au televisheni ilhali wengine wana ibada ya washiriki kuja garini.
Many dioceses have recommended older Christians to stay at home rather than attending Mass on Sundays; some churches have made church services available via radio, online live streaming or television while others are offering drive-in worship.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
MISA-Swaziland anatwiti moja kwa moja mwenendo wa mashitaka dhidi ya mwanasheria wa haki za binadamuThulani Maseko na mwandishi wa habari Bheki Makhubu bila ruhusa ya mahakama nchini Swaziland.
MISA-Swaziland is live tweeting the the trial of human rights lawyer Thulani Maseko and journalist Bheki Makhubu for contempt of court in Swaziland.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Mnamo Jumapili tarehe 7 mwezi Machi, dakika tano kabla ya kuanza misa; askari polisi wa jiji la Larache waliingia kwenye nyumba yetu ya watawa na kumkamata mmoja wa watawa, Rami Zaki, ambaye ni raia wa Misri na ambaye bado yuko katika hatua zake za awali za malezi na aliyekuwa anaishi na sisi kwa mwaka mmoja.
On Sunday the 7th of March, five minutes before mass began; the police in the city of Larache entered our friary and arrested one of our confrères, Rami Zaki, a young Egyptian friar still in initial formation who was spending a year with us.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: