Ask Google

Results for mwonekano wa ramani translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Picha ya mwonekano wa tovuti ya Balkans.

English

A screenshot of the Face the Balkans website.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwonekano wa kijiji kimoja wapo nchini Cambodia

English

A rural scenery in Cambodia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwonekano wa eneo la Delmas ni wa kusikitisha, unaogofya.

English

The sight of Delmas looks distressing, astounding.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Habari zinapatikana katika lugha za Kiingereza, Kijerumani, na Kifaransa katika mwonekano wa tovuti ya Balkans.

English

The stories are available in English, German, and French on the Face the Balkans website.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mjini New York, Maktaba ya Mji wa New York una mfululizo wa ramani kwenye wavuti unaoonyesha kambi ambazo walionusurika wanahamia.

English

In New York City, the New York Public Library has a series of maps online showing camps where survivors are finding shelter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hapa chini kuna baadhi ya picha zilizopigwa na waandishi wa habari za kiraia kama zilivyotumwa inmediahk.net kuhusiana na mwonekano wa maandamano hayo:

English

Below are some photos taken by citizen journalists from inmediahk.net on the protest scene:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti wanatilia shaka uwepo wa ramani hizo.

English

While some believe the historic documents could ease ongoing border disputes, researchers doubt they exist at all. Joseph Edward discusses the issue of missing colonial-era maps of the South Sudan border.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa mujibu wa ramani, na japokuwa halijatambulishwa rasmi kwa jina kwenye taarifa nyingi za habari , Jimbo la Leogane huko Haiti ndilo lilikuwa kitovu cha tetemeko, na lina sehemu kadhaa zinazokaliwa na watu wengi.

English

According to the map, the Hatian state of Leogane, though it has not been identified by name in many news reports, was the quake’s epicenter, and contains several heavily-populated areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wanamgambo wote wenye silaha wanasemekana kuingia kwenye sehemu hiyo ya uwanja iliyokuwa imetengewa kwa ajili ya watu maarufu na shughuli za ndege za Hajj, lakini kwa mujibu wa ramani ya uwanja huo, ndege zote huchangia njia moja ya kupaa au kutua.

English

Eighteen people from the airport staff, Pakistan's national airline and security forces were also killed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakiwa tayari na ujuzi wa maarifa haya mapya ya uboreshaji wa ramani pamoja na uanahabari wa kiraia, washiriki wamekuwa wakitembelea vijiji vya karibu ili kuboresha katika ramani taarifa za maeneo muhimu kama vile shule, barabara pamoja na hospitali.

English

Armed with these news skills in mapping and citizen journalism, participants have been going out into the surrounding rural villages to map key sites, such as schools, roads, and hospitals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“Kuanzia kwenye mwonekano wa sera hadi kwenye maelezo yanayotolewa kwa umma kuhusu uhuru wa habari na faragha, kutobolewa siri kulikofanywa na Snowden kumeimarisha hoja za serikali nyingi kueteta vtendo vya udukuzi.”

English

“From the policy landscape to the public narrative regarding free speech and privacy, the Snowden revelations have strengthened the state's argument for surveillance.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa mujibu wa taarifa mpya za habari, wanablogu na waandishi hao wanatuhumiwa kujiunga kinyume na sheria kama muungano wa wanablogu wa Zone9, shitaka la ajabu, kwa kuzingatia mwonekano wa wazi wa blogu ya Zone9 na shughuli zinazoendeshwa na kikundi hicho.

English

According to news reports, the bloggers and journalists were also accused of organizing themselves clandestinely as the Zone9 blogging collective, a puzzling charge, given the public nature of the Zone9 blog and activities undertaken by the group.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa sababu hiyo, serikali ililaumiwa kwa mwonekano wa kulegea katika harakati ya kushughulika na wasiwasi iliyokabiliwa na umma.Mnamo 16 Machi, Waziri Mkuu Boris Johnson alitoa tangazo akishauri dhidi ya kusafiri kusikohitajika na kutangamana kijamii, alipendekeza watu wafanye kazi kutoka nyumbani inapowezekana na kuepuka maeneo kama vilabu, hoteli, na sinema.

English

As a result, the government received criticism for the perceived lack of pace and intensity in its response to concerns faced by the public.On 16 March, Prime Minister Boris Johnson made an announcement advising against all non-essential travel and social contact, suggesting people work from home where possible and avoid venues such as pubs, restaurants, and theatres.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwenye makala iliyopewa kichwa cha habari "Kifo katika Safari ya Kuelekea Ulaya", Philippe Rekacewicz, ambaye ni Mfaransa na msanifu wa ramani, atoa ufafanuzi unaoambatana na mfululizo wa ramani kuhusiana na harakati za wahamiaji kutoka Afrika kuelekea Ulaya.:

English

In an article entitled "dying at the gates of Europe", Philippe Rekacewicz, a french cartographer, illustrates with a series of map the story of the migrants struggle from Africa to Europe :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK