Ask Google

Results for nakupenda kwa dhati kabisa toka m... translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

@iShayma: Kwa dhati kabisa siwezi kuamini kile anachokisema #Romney kwa sasa!

English

@iShayma: I honestly cannot believe what #Romney is saying right now!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“Ustream inaunga mkono kwa dhati kabisa uhuru wa Mtandaoni, jamii zilizo imara na demokrasia changa.

English

“Ustream is an enthusiastic supporter of Internet freedom, stable societies, and emerging democracies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati idadi inaweza kuakisi uhalisia wa matokeo ya Sauti za Dunia, kwa dhati kabisa, tunapenda kusherehekea na kuwashukuru wote wanaojitolea na ambao kwa pamoja wanaifanya Sauti za Dunia kuwa na morali ya hali ya juu na kama jumuia ya kuaminika.

English

While the numbers may reflect the facts of Global Voices’ impacts, we really want to celebrate and thank the volunteers who together make GV such an energetic and trusting community.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Haa, Mama Janet Kataaha Museveni (nee Kainembabazi), mke wa Rais tangu mwezi Mei 1986 ametoa hadharani wasifu wake binafsi (CV) akikwea hatua kwa hatua kutoka mama wa kupanga safari za mumewe mpaka kuwa mbunge anayewakilisha jimbo la Ruhaama, kisha Waziri wa Nchi anayeshughulikia mambo ya Karamoja (Februari 27, 2009) mpaka kuwa Waziri kamili wa masuala ya karamoja (tangu Mei 27, 2011). NA mtu yeyote anayefikiri kwa makini lazima awe na wasiwasi na ukweli uliofichwa, kwamba kwa kurejeshwa tena Ukomo wa Mihula ya Urais, basi maana yake ni kwamba itawezekana mama huyu akashawishiwa na chama kinachotawala cha NRM kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho kama ilivyokuwa kwa mwanamama Cristina Fernandez de Kirchner, rais wa sasa wa Ajentina ambaye alisimikwa na chama cha mumewe (Frente Para La Vietoria) kuchukua nafasi ya mume wake baada ya kipindi chake kumalizika ingawa mwaka 2007 chama Democrats (huko Marekani) kwa dhati kabisa walimkataa Hilary Rodmahn Clinton...

English

Eehm, Mama Janet Kataaha Museveni(nee Kainembabazi),the country's First Lady since May 1986 has fast drawn out quite an impressive C.V, elevating her status from a mere itinerary mother figure to an elected M.P representing Ruhaama County then State Minister for Karamoja Affairs(16th February, 2009) currently to Cabinet Minister for Karamoja Affairs(27th May, 2011) AND no serious thinker should doubt the pending reality, that with the restoration of Presidential Term Limits, it will all then be within the bounds of possibility that she could be fronted by ruling NRM as the Party's flag bearer to run for Presidency jest like with Cristina Fernandez de Kirchner, Argentina's current president who was annointed by her husband's Party(Frente Para La Vietoria) to replace him after his tenure expired in 2007 though the Democrats(in the US)outrightly rejected Hilary Rodmahn Clinton...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK