Ask Google

Results for nyumbani kwenye meneja wa maudhui translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Utetezi wa maudhui huru!

English

Free content advocate here!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ghafla tu, kuna mwongezeko mkubwa wa maudhui yanayotoa taswira hasi ya mtandao wa Facebook na Mitandao mingine ya kijamii.

English

All of a sudden, there is a huge increase in number of mass media content highlighting the bad side of Facebook and Social Media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tuzo hizi ni jitihada za Chama cha Wanablogu Kenya (BAKE) katika kukuza ubora wa maudhui yanayochapishwa mtandaoni.

English

These awards represent BAKE’s efforts in the promotion of quality content creation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa mfano, pia walituhumiwa kwa kuchagua msimamo dhaifu kwenye kesi ya Ghazi Beji na Jabeur Mejir, ambao walipatikana na hatia na kufungwa kwa miaka saba na nusu jela mwaka jana, kwa uchapishaji wa maudhui mtandaoni yaliyoonyesha kukashifu Uislamu.

English

For instance, they were also accused of adopting a weak stance on the case of Ghazi Beji and Jabeur Mejir, who were convicted to seven and half years in prison last year, over the publication of online content deemed offensive to Islam.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@MrFixNigeria ni Balozi wa Microsoft wa Usalama wa Mtandaoni na ndiye meneja wa kampeni za Urais mwenye umri mdogo kuliko wote katika Naijeria.

English

@MrFixNigeria is Microsoft Internet Safety Ambassador and Nigeria's youngest presidential campaign manager.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Makala na taarifa hii ya habari iliyoandaliwa na Shirin Jaafari kwa ajili ya kipindi cha redio kiitwacho The World kwa mara ya kwanza ilionekana kwenye tovuti ya PRI.org siku ya tarehe 26 Februari 2015, inachapishwa tena chini ya makubaliano ya ushirikiano wa maudhui.

English

This article and radio report by Shirin Jaafari for The World originally appeared on PRI.org on February 26, 2015, and is republished as part of a content-sharing agreement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mtandao wa Flipboard unasema Global Voices itaongezwa kwenye mwongozo wa maudhui kwa watumiaji wanaoishi Japan, Hong Kong, Taiwan, Ufaransa, Uhispania, Brazil, Italia, Urusi, Uarabuni.

English

Flipboard says Global Voices will initially be added to content guides for users in Japan, Hong Kong, Taiwan, France, Spain, Brazil, Italy, Russia, Arabic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika twiti yake ya mwisho, Usamah alikuwa akifanya utetezi wa maudhui huru kusaidia kusambaza habari za matukio yanayoendelea katika mitaa ya jiji la Khartoum:

English

In his last tweet, Usamah was advocating free content to help spread the word about the events happening on the streets in the capital Khartoum:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Walikuwa ni wale wa timu ya Mafunzo -Mkurugenzi Mwandamizi Tim Sneath, Mkurugenzi wa Program za Mafunzo Keith Loeber na Mkurugenzi wa Maudhui Briana Roberts.

English

These were members of the Learning Experience team - Senior Director Tim Sneath, Director for Academic Programme Keith Loeber and Content Director Briana Roberts.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Meneja wa Hoteli hapo Dar es Salaam akikuomba kuondoka kwenye chumba cha watu maarufu (VIP) kwa sababu chumba hicho kimetengwa kwa ajili ya Marais....

English

When the hotel manager in Dar Es Salaam asks you to get out of the VIP room coz it's only reserved for presidents.... pic.twitter.com/D5QKNhZ2NW — The Royco Guy (@Currie_Powder) May 13, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika dakika ya 2:30, meneja wa kituo cha yatima katika sehemu isiyotajwa nchini Haiti anaonyesha kuchanganyikiwa kwake kuhusiana na maslahi ya ghafla ya watoto wa Kihaiti, ambapo kabla hayakuangaliwa sana.

English

At minute 2:30, the manager of an orphanage in an unnamed location in Haiti expresses frustration at the sudden interest in Haitian children, where before there was less concern.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nijibuni –hivi matarumbeta yanakera zaidi ya Wana-Ultra na vipaza-sauti vyao katika viwanja vyao vya nyumbani kwenye ghuba yote Ultra au bendi ya Uingereza ikipiga wimbo wa ‘Great Escape’ pale Wembley?

English

Answer me this – are the horns any more annoying than the Ultras with mega-phones at partisan stadia across the peninsula or the England Band droning out ‘The Great Escape’ constantly at Wembley?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Waandaaji wa tuzo hizi ni wanachama wa Chama cha Wanablogu Kenya (BAKE), jumuia inayowakilisha kikundi cha wazalishaji wa maudhui mtandaoni kinachotaka kukuza uzalishaji wa maudhui na kuboresha kiwnago cha maudhui yanayowekwa mtandaoni.

English

Organizer The Kenyan Blog Awards are an initiative of the Bloggers Association of Kenya (BAKE). BAKE is a community organization that represents a group of Kenyan online content creators and that seeks to empower online content creation and improve the quality of content created on the web.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Zaidi ya hayo, "ina lengo la kutengeneza mkusanyiko wa maudhui ya taifa ikiwa ni pamoja na maandiko, kanda za sauti na video kwa ajili ya kuzihifadhi katika mfumo wa kidijitali, na kuzifanya zipatikane kwa ajili ya ugunduzi na utafiti."

English

Further, "it aims to build a national collection of content including print, audio and video to preserve them in digital form, and make them available for discovery and research."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK