Ask Google

Results for party translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Tafrija- as in party a receprion

English

reception

Last Update: 2015-08-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Rais wa chama cha NAREP (National Restoration Party Elias Chipimo.

English

President for the National Restoration Party (NAREP) Elias Chipimo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@delemomodu2011 ni mgombea wa urais kupitia chama cha National Conscience Party (NCP).

English

@delemomodu2011 is the Presidential Candidate of the National Conscience Party (NCP).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nilipofanya uamuzi wa kujiunga na chama cha SDP (Singapore Democratic Party) malipo halikuwa suala la msingi sana.

English

When I made the decision to join the SDP, pay was not a key factor.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika kura zilizomkataa Oronoz Rodríguez ilikuwemo ya Seneta pekee wa kike, wa chama cha Puerto Rican Independence Party, María de Lourdes Santiago.

English

Among those voting against Oronoz Rodríguez was the only female senator, of the Puerto Rican Independence Party, María de Lourdes Santiago.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wanachama wa chama cha People’s Action Party (PAP) ndilo kundi la watu wanaoongoza kwa kutokueleweka duniani.

English

People’s Action Party (PAP) members are by far the most misunderstood group of people in the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Chama tawala cha PPP ( Pakistan Peoples Party) na kile cha PTI (Pakistan Tehreek Insaaf) walilaumu tukio hili.

English

Ruling Pakistan Peoples Party and Pakistan Tehreek Insaaf condemned the incident.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika maneno ya Patrick Utomi (ambaye mpaka hivi karibuni alikuwa mgombea Urais wa chama cha Social Democratic Mega Party (SDMP):

English

In the words of Patrick Utomi (until recently, a presidential candidate of Social Democratic Mega Party):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kofi Adams alisema Rawlings anaamini kuna haja ya watu ndani ya chama kuiwajibisha serikali na wateuliwa wake badala ya wapinzani wao kwenye chama cha New Patriotic Party (NPP).

English

Mr. Kofi Adams said Rawlings believes there is need for individuals within the party to hold the government and its appointees accountable instead of their opponents in the New Patriotic Party (NPP).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Hata Danny the Democracy Bear, alama ya chama mbadala cha siasa, SDP (Singapore Democratic Party) alikuwa na tarafakari ifuatayo:

English

Even Danny the Democracy Bear, mascot of alternative political party the Singapore Democratic Party, weighed in:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nigeria is approaching an election year and it is anticipated that Jonathan will want to stand as the candidate for the PDP, the country's ruling party since the transition to civilian government in .

English

Nigeria is approaching an election year and it is anticipated that Jonathan will want to stand as the candidate for the PDP, the country's ruling party since the transition to civilian government in .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kupitia tovuti ya Wordle, alvinology analinganisha ilani ya PAP na ilani iliyotolewa awali na chama cha upinzani cha Wafanyakazi (Workers’ Party au WP).

English

Through the Wordle site, alvinology compares the PAP manifesto with the manifesto issued earlier by the opposition Workers’ Party’s (WP).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwezi uliopita, mahakama ya Ethiopia haikuwakuta na hatia Abraham Solomon, aliyekuwa amekamatwa kwa kosa la kuwa na uhusiano na mshitakiwa wa kwanza Zelalem, sambamba na wanasiasa wengine wanne wa upinzani ambao ni Abraha Desta, afisa wa chama cha upinzani cha Arena Tigray Party na mwanaharakati wa mitandao ya kijamii, Yeshiwas Assefa, mwanachama wa baraza la chama cha siasa cha Semayawi, Daniel Shibeshi, afisa wa chama kisichosikika sana cha Unity for Democracy and Justice (UDJ) na Habtamu Ayalew, Mkuu wa Mawasiliano ya Umma wa chama hicho.

English

Ethiopian court last month acquitted Abraham Solomon, detained for having connections with the first defendant Zelalem, along with four other opposition politicians namely Abraha Desta, an official of the opposition Arena Tigray Party and social media activist, Yeshiwas Assefa, council member of the Blue (Semayawi) Party, Daniel Shibeshi, official of the now defunct Unity for Democracy and Justice (UDJ) party and Habtamu Ayalew, former Public Relations Head of the defunct UDJ.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Fu kujitokeza na kueleza kwamba tamko lake lilieleweka visivyo, jambo ambalo nimekuwa nikiliona likijitokeza kwa wananachama wa chama tawala cha PAP (People’s Action Party) mara nyingi:

English

Ms Fu has since come out to say that her statement had been misunderstood, something which I have observed to happen to the ruling People's Action Party members very often:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Chama Kikuu cha Upinzani nchini Ghana, New Patriotic Party (NPP), kimeyapinga matokeo ya hivi karibuni ya Uchaguzi wa Rais, kikidai uchaguzi huo ulighubikwa na vitendo vya udanganyifu.

English

The New Patriotic Party (NPP), the strongest opposition party in Ghana has challenged the recent Presidential election results, claiming electoral fraud.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Siku ya Alhamis nilihudhuria mkutano wa CHADEMA (Chama Cha Demokracia na Maendeleo au Party of Democracy and Development) cha Dakta Slaa, ambaye ni mgombea mwenye mvuto zaidi kwa upande wa upinzani Tanzania Bara.

English

On Thursday afternoon I attended a Chadema (Chama Cha Demokracia na Maendeleo, or Party of Democracy and Development) political rally for Doctor Slaa, the most popular opposition presidential candidate on the mainland.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kada wa chama cha United National Party Ajith P. Perera ameandika salamu za rambirambi kwa Prabhakaran katika blogu yake, akitaka kuwa tofauti na wengine: “alikuwa muuaji, bila ya shaka, lakini Prabhakaran anastahili salamu za rambirambi, hata kama ni katika lugha ambayo alikuwa haielewi,”

English

United National Party organizer Ajith P. Perera wrote in his own obituary for Prabhakaran in his blog, Dare to be different: "He was a terrorist, no doubt, but Prabhakaran deserves an obituary, even in a language he barely understood," Perera wrote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Ukosoaji mkubwa ulitoka upinzani: kiongozi mkuu wa chama cha United Party for National Development (UPND) Hakainde Hichilema aliyetoa wito kwa watu kuvaa nguo nyeusi kuomboleza na sio kusherehekea tukio hilo:

English

The most high-profile criticism came from the opposition: United Party for National Development (UPND) leader Hakainde Hichilema called on people to wear black to commemorate and not celebrate the occasion:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Rais waChama cha upinzani cha NAREP (National Restoration Party) Elias Chipimo Jr. amekuwa mwanasiasa wa kwanza katika nchi hiyo “kulihutubia” bunge la Facebook nchini Zambia linaloaminika kuwa na wanachama 1,318 baada ya kuruhusiwa na “Spika” kutuma ujumbe wake wa mwisho wa mwaka.

English

Zambia’s opposition National Restoration Party (NAREP) president Elias Chipimo Jr. has become the country’s first politician to “address” the make believe 1,318 member Facebook Zambian parliament after he was allowed by the “Speaker” to post his end of year message.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Chama kinachotawala Singapore, People’s Action Party (PAP), kilitoa ilani yake ya uchaguzi tarehe 17 aprili, 2011, ambayo mara moja ilikosolewa na wanablogu wengi kwa “kutokuwa wazi”.

English

Singapore’s ruling party, People’s Action Party (PAP), released its election manifesto on April 17, 2011, which was immediately criticized by many bloggers for being “too vague.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK