Ask Google

Results for pili huenda wapi kila siku na hue... translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Kuna aina mbili za watu duniani: wale wanaoitazama ETv kila siku na wale waliokolewa na Mungu kuepushwa kuitazama

English

There is news and there is ETV news. #ETvDay — Mahlet (@Mahlet_S) April 1, 2014 BefeQadu added: There are two types of people in the world: those who watch ETv daily and those who were saved by God from having to watch it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mradi huo unatumia mtandao wa Twita kuposti habari zinazohusiana na Ebola kila siku na kuratibu majadiliano yanayohusu virusi vya Eloba kati ya wataalam na umma wa wananchi.

English

The initiative uses Twitter to post daily Ebola-related news and to organise Ebola chat sessions between experts and the general public:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Inatupasa tujipe uhai mpya kila siku na pia tuwe wakosoaji wa kazi zetu wenyewe, na inatupasa tufanye kazi kwa nguvu ili kuweza kuendelea kuwa wakweli na huru.

English

We have to stay fresh and be our own harshest critic, and we have to work hard to remain fair and independent.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wazazi wanatumia muda mfupi (na unaopungua kila siku) na watoto wao, na wanaruhusu runinga kuwaelimisha zaidi na zaidi.

English

Parents spend less and less time with their children, and allow the television to educate them more and more.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Huku takriban 25% ya nchi inatumia mtandao kila siku, na moja ya nchi zenye watumiaji wa simu za mkononi wengi zaidi katika Amerika ya Latini, wanatumaini kwamba Brazil itakuwa ndiyo sehemu ambapo (ushahidi) itafikia upeo wake mwaka huu.

English

With an estimated 25% of the country online every day, and one of the highest mobile subscriber rates in Latin America, they hope Brazil could be the place where it comes of age this year.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Na pale karibu na mlango wa Hekalu uitwao "Mlango Mzuri", palikuwa na mtu mmoja, kiwete tangu kuzaliwa. Watu walimbeba huyo mtu kila siku na kumweka hapo ili aombe chochote kwa wale waliokuwa wakiingia Hekaluni.

English

And a certain man lame from his mother's womb was carried, whom they laid daily at the gate of the temple which is called Beautiful, to ask alms of them that entered into the temple;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK