Ask Google

Results for taratibu za kushindanisha vyama translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Ni nani atakayehusika na kuweka masaa ya kazi na taratibu za kazi?

English

Who is going to decide on the working hours and job description?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni kazi yao kuangalia lipi ni jema kurushwa hewani kama inavyoelezwa katika Taratibu za Televisheni na Sauti.

English

It is their job to police what is good for public broadcast as prescribed by Television and Sound Broadcasting Regulations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Watumiaji wengi wa mtandao walizungumzia utoaji wa mimba wakihusisha na kanuni na taratibu za kimaadili.

English

Many users addressed the moral and ethical aspects of abortions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hali haikufika huko, kwani Wenje alifuta kauli yake na taratibu za bunge ziliendelea kama kawaida.

English

In the end it never came to that, as Wenje took back his statement, and things proceeded with relative calm.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nchi nyingi pia zinapitia njia ya utata ya taratibu za kisheria ambayo inaweza kupunguza uhuru wa vyombo vya habari.

English

Many countries are also going through controversial legal processes that could limit freedom of the press.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Taratibu za zamani ni mbaya - rushwa, utawala wa hovyo hovyo, utawala mbovu na mambo kama hayo.

English

The old ways are bad - corruption, misrule, mismanagement and all that.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ingawa kulikuwa na matukio ya ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi, tovuti ya yatokanayo na uchaguzi ilithibitisha rasmi matokeo rasmi ya kura.

English

Although there were some irregularities, exit polls confirmed the official vote tally.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mafunzo hayo yalikuwa si tu kuwakumbuka wahanga wa tetemeko la ardhi, bali kushughulikia jamii na taratibu za kirasimu za uendeshaji wa shughuli za serikali.

English

The drill is not only to honor the victims of the earthquake, it's also about society vs bureaucracy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Lakini, je, unafanyaje pale unapojaribu kukumbatia taratibu za kiutamaduni za mwenzako na kuishia kuonekana tofauti miongoni wa wenzako?

English

But what do you do when you try to embrace your significant other's cultural practices and end up standing out among colleagues?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mkuu wa mpaka wa kituo cha Huduma za Ulinzi wa Mpaka wa Ukraine alitoa tamko la kuvunjwa kwa taratibu za mpaka wa Ukraine uliofanywa na helikopta hizo.

English

The chief of the border detail of the State Border Guard Service of Ukraine made a statement of Ukrainian border violation by aforementioned helicopters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@moi_bahrain: Ulinzi na taratibu za sheria zitachukua mkondo wake dhidi ya wavunja sheria ili kuimarisha usalama

English

@moi_bahrain: Security and legal procedures would be taken against lawbreakers to protect security

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Upatikanaji wa dawa pia ni tatizo kubwa kwa kuwa kuna tatizo la kukosekana kwa usimamizi madhubuti wa dawa na taarifa za upatikanaji wa dawa pamoja na taratibu za usambazaji zinazokwamisha mgawanyo sahihi.

English

Availability of medication is also a real problem because the systematic failures in drug management and inventory tracking as well as distribution logistics hamper proper distribution of medications.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Japokuwa ipo nchini Azerbaijan, blogu hiyo inabaini mfumo unaofanana wa maadili katika eneo lote la Caucasus na inaongelea kuhusu dhana na taratibu za namna hiyo za mfumo dume.

English

Although based in Azerbaijan, the blog notes the same value system throughout the entire Caucasus and speaks out about such patriarchal concepts and practices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Utaratibu wa chakula cha mchana, ulioanza miaka ya 1960, ni miongoni mwa taratibu za siku nyingi sana nchini India ulio na lengo la kuwapa moyo familia masikini kuwapeleka watoto wao shuleni.

English

The mid-day meal scheme, which began in the 1960's, is one of India's oldest and aims to encourage marginalized classes to send their children to schools.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa upande wa upinzani kuna pongezi kwa Henrique Capriles na timu yake ya kampeni, kukosolewa kwa tabia ya rais kubahatisha fursa, na madai ya ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zinazoanzia kipindi cha kampeni.

English

On the side of the opposition there is gratitude for Henrique Capriles and his campaign, criticism towards the President's opportunism, and allegations of serious irregularities that go back to the days of the campaign.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Lakini viongozi wa upinzani na wanablogu wana maoni mengine: wanafikiri kuwa vitendo vya ukandamizaji na udhibiti mkali kwenye taratibu za uchaguzi vilitawala uchaguzi wa rais na wabunge nchini Tunisia mnamo tarehe 25, Oktoba 2009.

English

But opposition leaders and bloggers have another opinion: they think that repressive acts and stifling controls on the election process have characterized the 2009 presidential and legislative elections in Tunisia on October 25, 2009.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakenya wana tabia ya kusahausahau mambo. Watu huongea kuhusu ufisadi wakati tu wa visa vikubwa ilhali visa vidogovidogo ndio labda vinawaibia asilimia thelathini ya pesa zao, kuharibu mali ya umma, na taratibu za jamii.

English

Kenyan's suffer from serious memory lapse! we only discuss corruption when we are face with major scandal's, yet petty corruption probably "steals" 30% of our household income, depletes our resources and erodes our moral values.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Matukio ya wahamiaji wanaofanya kazi za ndani kuwashitaki waajiri wao kwa kuwadhalilisha yanazidi kushika kasi, hata hivyo, wanakabiliwa na changamoto za kisheria na hatari ya kuwekwa gerezani na kurudishwa makwao kutokan na mfumo kandamizi wa taratibu za uhamiaji.

English

Migrant domestic workers suing their employers for abuse continue, however, to face legal obstacles and risk imprisonment and deportation due to the restrictive visa system.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa maneno mengine, taratibu za ulinzi ambazo benki inazitumia hivi sasa zinategemea maamuzi ya watumishi, maamuzi ambayo mara nyingi hugubikwa na dhana zilizokuwepo kabla ya tukio, imani potofu na ubaguzi dhidi ya watu wa aina fulani.

English

In other words, the security method currently employed by banks is based on their personnel's pre-judgment, often plagued with preconceptions, stereotypes and discrimination against certain types of people.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Shukrani kwa wanaharakati na mahakama za kimataifa kufuatia taratibu za mashtaka dhidi ya Guatemala. Tunaamini zitazingatia matumizi ya nguvu waliyokumbana nayo wanawake wenyeji kwa zaidi ya miaka 36, ambapo walikuwa waathirika kwa sababu tu ya kuwa wanawake na kwa sababu ya kuwa wenyeji.

English

Thanks to activists the international courts following the genocide proceedings against Guatemala will be taking into account the violence indigenous women faced for more than 36 years where they were victims because they were women and because they were indigenous.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK