Ask Google

Results for tujikinge na janga la ukimwi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Kami aliletwa kuwasaidia watoto wengi wa Afrika Kusini wanaotaabika na janga la VVU/UKIMWI.

English

Kami was introduced to help the many children in South Africa who are dealing with the HIV/AIDS crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Janga la mafuriko halikutokea tu Malaysia.

English

The flooding disaster was not limited to Malaysia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Huzuni mkubwa kama baba na kama M-Colombia kwa janga la watoto wetu katika Fundación.

English

Hugh sorrow as a father and as a Colombian for the tragedy of our children in Fundación.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mbinu tofauti zinatafutwa za kusaidia kukumbana na janga hili katika nchi hizi zinazoendelea.

English

Many innovative solutions are being proposed to help tackle the spread of counterfeit drugs in developing countries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Jarida la The Guardian linatoa habari za mpya kadiri zinavyojitokeza kuhusiana na janga hilo.

English

The Guardian is posting live updates on the disaster.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Zaidi ya watu 30 walipoteza maisha yao katika jamii hii wakati wa janga la mafuriko haya.

English

More than 30 individuals died in this community during the flooding disaster.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefikia azimio 2177 la kupambana na janga hilo linalohatarisha afya ya jamii.

English

The United Nations Security Council has adopted Resolution 2177 to deal with the public health crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Utepe wa njano ukiwa umefungwa katika mtaa wa Seoul kwa matarajio ya muujiza wa janga la kivuko cha Sewol.

English

Yellow ribbons tied along a Seoul street in the hope of miracles following the Sewol ferry disaster.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tacloban ndiko lilikotokea janga la Kimbunga cha Haiyan kilichochukua maisha ya watu 6,000 kwenye mkoa wa Visayas Kusini.

English

Tacloban is the "ground zero" of the Typhoon Haiyan disaster which claimed the lives of more than 6,000 people in the Eastern Visayas region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Matokeo yake ni urahisi wa kuelewa ni idadi gani ya watu waliokuwa wakiishi katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na janga hili.

English

The result is a very fast way to understand just how many people were living in the places hit hardest by the disaster.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ifuatilie makala yetu "Janga la Watoto Nchini Syria" ili ufahamu jinsi unavyoweza kuwasaidia.

English

Take a look at our post "Children Crisis in Syria" to learn how.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim huenda alidhani angeweza kutumia janga la ndege ya MH370 kuendelea kushusha hadhi ya serikali.

English

Opposition leader Anwar Ibrahim probably assumed he could use the MH370 disaster to further undermine the credibility of the ruling government.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika siku ya ugonjwa wa Kisukari Duniani inayoadhimishwa kila tarehe 14 Novemba, India imedhamiria kukabiliana na janga la kuongezeka kwa wagonjwa wa kisukari ambao kwa sasa ni tishio nchini humo.

English

On World Diabetes Day on November 14, India renewed its pledge to fight the growing diabetes menace in the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwitiko wa sasa wa janga la chakula, hata hivyo, unaonekana kuwa na kasi kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa mwaka 2005.

English

The current response to the food crisis, however, seems to be speedier than in 2005.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Waziri Mkuu Chung Hong-won tayari amejiuzulu kufuatia serikali kushutumiwa kuwa ilichelewa kuchukua hatua kukabiliana na janga hilo.

English

Prime Minister Chung Hong-won has resigned amid criticism of the government's delayed response to the disaster.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ikiwa na watu zaidi ya milioni 60 wanaougua ugojwa wa kisukari na wengine wanaokadiriwa kufikia milioni 77 walio katika hatihati ya kuugua ugojwa huu, nchi ya India inajikuta katika vita kali ya kukabiliana na janga la ugonjwa wa kisukari.

English

With over 60 million diabetics and another estimated 77 million people being considered pre-diabetic, India is caught in the throes of a diabetes crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hali hii inafanya uwepo uwezekano wa kutokea vitendo vya kifisadi, upotevu na hata matumizi mabaya ya fedha na hivyo kuzorotesha uwezo wa taifa hilo kupambana na janga hilo.

English

This makes it possible for fraud, waste, and misappropriation of funds to occur therefore crippling the nation’s ability to quickly respond to the crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wapo walionusurika katika janga la tetemeko la ardhi, lakini walikufa huku kwa kweli wangeweza kabisa kuokolewa kwa sababu hawakupata matibabu katika muda mwafaka ili kumudu kuvumilia majeraha yao.

English

There were people who had survived the earthquake, but died when they shouldn't have because they were not treated in time for their sustained injuries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tangu mwaka 2000, ugonjwa sugu wa figo imeua zaidi ya watu 24,000 katika El Salvador na Nikaragua, nchi mbili ambazo zimeathirika zaidi na janga hilo.

English

Since 2000, chronic kidney disease has killed more than 24,000 people in El Salvador and Nicaragua, the two countries that are by far the worst-hit by the disease.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tangu rais wa Malawi Bingu wa Mutharika aliposema rasmi kuwa Karonga ni sehemu ya janga la kitaifa, rai za kuwasaidia waliathirika zimekuwa zikimiminika ili kuwasaidia watu katika wilaya hii ya migodi ya madini ya uranium.

English

Since Malawi's president Bingu wa Mutharika declared Karonga as a national disaster area, appeals for help to the victims have been pouring to help the people in the uranium mining district.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK