Ask Google

Results for ulinganishaji wa video translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Muziki wa video

English

Music video

Last Update: 2015-04-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

Nunua mchezo wa video.

English

Buy a video game.m

Last Update: 2020-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kidude cha mchezo wa video

English

playstation

Last Update: 2020-08-07
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Jordan: Ubloga wa Video wa Malkia Rania

English

Jordan: Queen Rania's Video Blogging · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Labda ni mtindo mpya, kama mchezo wa video.

English

Perhaps it's hip, like a video game.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Azerbaijan: Baada ya Hukumu ya Wanablogu wa Video

English

Azerbaijan: More reaction to video blogger trial verdict · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@iyad_elbaghdadi: Sielewi mukhtadha wa video hii ya kukamatwa kwa #Morsi.

English

@iyad_elbaghdadi: I don't understand the context of #Morsi arrest vid.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ni lazima mtengenezaji wa video, na sio mlalamikaji, kuthibitisha kwamba ana haki ya kuweka video hiyo.

English

It is incumbent on the video's creator, and not the complainant, to prove that he or she has the right to present the video.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwanablogu na mwanahabari wa video Menna Alaa leo hii ameshambuliwa na waandamanaji wenye hasira wanaomwunga mkono Morsi.

English

Blogger and video journalist Menna Alaa was attacked by angry pro-Morsi supporters today.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Siwezi kuamini kuwa usambazaji wa video hizi bado unaendelea lakini haifai kwa mtu kuwaunga mkono ISIS kwa kusambaza video hizi.

English

Can't believe this bears repeating but one should not empower ISIS by publishing their PR materials.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Video hii ya kutisha, ikiwa katika mfumo wa video ya kuhaririwa, ilisambaa kwa haraka sana katika mitandao ya kijamii.

English

The grotesque video, in the form of screen-grabs, quickly spread in social media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Video ya wimbo wake imesifika sana na ilichaguliwa kuwa wimbo bora wa video wa mwaka 2013 na majaji wa maonesho maarufu ya mwaka yanayoitwa Zlatna Buba Mara.

English

The music video received critical acclaim and was selected the best video of 2013 by the jury of popular annual manifestation Zlatna Buba Mara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Baadhi ya matukio yanaendeshwa kwa namna mbili, hivyo waweza kutembelea ukurasa maalumu wa video wa kongamano na kisha uchague kati ya namna hizo mbili.

English

Some parts of the program run on two tracks, and you can check the Summit website video page to chose between streams.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wanachama wa programu hiyo pia wamekuwa wakishiriki katika mradi wa video ya Dakika Moja, ambao kwao wanajifunza kuhusu uanaharakati wa video wakati wa warsha ya wiki moja.

English

The members of their program have also been participating in the One Minute Video Project, where they learn about video activism during a one-week workshop.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tena, ni serikari gani kandamizi ambayo itataka ukweli usemwe juu ya jinsi ilivyo kiasi cha kuzuia urushwaji wa video ambayo mtu yoyote anaweza kuipata?

English

Again, which oppressive regime would want to have the truth told about how it entrenches its power blown open in a video clip that can be accessed by all?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Sauti za wa-Papua ni mkakati wa utetezi kupitia uandaaji wa video unaowawezesha wanaharakati wa Papua ya Magharibi kutengeneza filamu fupi zinazosimulia habari zao pamoja na kuelezea harakati za maisha yao ya kila siku.

English

Papuan Voices is a video-production advocacy initiative that allows West Papua activists to make their own short films that tell their stories and describe their everyday struggles.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ulinganishaji wa kisa hicho na kingine kilichotokea mwaka jana cha mwanamke mmoja katika wilaya ya Minhang Shanghai aliyewatupia mafundi waliokuwa wakijiandaa kuvunja nyumba yake mabomu ya petroli aliyoyatengeneza, katika eneo ambapo kutakuwa kitovu cha usafirishaji kwa ajili ya eneo la Kibiashara la Shanghai 2010.

English

Comparisons were made with a case that happened last year, where a woman in the Minhang district of Shanghai threw self-made petrol bombs at a demolition crew preparing to destroy her house, which is the site of a transportation hub for the 2010 Shanghai Expo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Gari la afisa wa polisi wa serikali ya mtaa lililokuwa na namba OKU 8877, milio ya bunduki ilirekodiwa kutoka kwenye gari hilo– kwa mujibu wa mpakiaji wa video, Felipe Amorim , haikuwa risasi ya mpira.

English

An official local government car with plate number OKU 8877 was taped firing gun shots – according to the author of the video, Felipe Amorim , it was not rubber bullet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Askari polisi wa Georgia wanaripotiwa kuwa wameweza kuwafuatilia na kuwapata waharibifu wa fikra waliohusika katika utengenezaji wa video za masihara ‘chafu na zinazotusi’ ambazo zilimlenga mkuu wa Kanisa la Orthodox na kusababisha aibu katika taifa zima kwenye nchi hii yenye kufuata dini kwa bidii.

English

The Georgian police are reported to have tracked down the thought criminals responsible for "indecent and insulting" satirical videos which targeted the head of the Orthodox Church and caused a nationwide scandal in this fervently religious country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Chombo cha habari cha Blogger Times kinachoendeshwa na mabloga wa Kiarabu, kimemtaja Malkia Rania wa Jordan kuwa bloga maarufu zaidi wa video za kutoka Uarabuni katika chombo cha Video mtandaoni, YouTube, kufuatia mafanikio ya mlolongo wa video za YouTube aliouanzisha kuondoa dhana potofu dhidi ya Waarabu.

English

Queen Rania of Jordan has been named the most famous Arab video blogger on YouTube by Blogger Times, a blogging magazine run by Arab bloggers, following the success of a series of YouTube videos she launched to shake off stereotypes against Arabs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK