Ask Google

Results for umewahii kukerwa na mpenzi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Sasa ana CD tatu zilizotoka kwa jina lake, CHEREKO, NATOKA MBALI NA WEWE na MPENZI.

English

Now she has 3 cd's released under her name, CHEREKO, NATOKA MBALI NA WEWE and MPENZI.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tulipanda kaskazini na kuungana na wengine wanaojali na kukerwa na uuaji unaofanywa dhidi ya idadi ya mbwa mwitu.

English

We went way up north and joined other people who care and are disgusted with the massacre taking place upon the wolf population.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mapenzi ya kweli hayahusu kwamba mtu amejisitiri kila inchi au yu uchi wa mnyama wakati akiwa na mpenzi wake.

English

True love is SO not about whether one is covered up every single inch or bare naked when she's with her partner.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hata sijui nini cha kusema lakini kile ninachoweza kusema sasa ni kwamba ninajisikia kukerwa na kwa kweli sijui cha kufanya na kile ambacho sote kama taifa tunaweza kufanya ili angalau sekta ya madini itufaidishe na sisi siku moja

English

i really do not even know what to say but all i can say is that i feel so disgusted and i really do not know what we can do and what we shall do to make the dice fall in our favor as zambians one day

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ninapaswa kuendelea kujituma na kujitolea kwa wenzangu, mashirika ya vijana, watu wa kupigiwa mfano, marafiki zangu, vijana, familia na mpenzi wangu.

English

I need to continue my hard-work and my well-being to colleague, youth organizations, role models, my friends, youths, family and my love.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Sisi tayari tunajua jinsi tafiti hizi za masuala ya kijinsia zinavyofanya kazi, mkibishana kidogo na mpenzi wako kuhusu "rimoti" ya televisheni hiyo inatosha kuchukuliwa kuwa udhalilishaji wa kijinsia

English

We already know how these feminist surveys work, if you argue over the TV remote it's considered macho violence

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Serikali ilidai kuwa, muuaji alikuwa ni binamu wa wasichana hao ajulikanaye kwa jina la stepbrother Khutore ambaye alionekana kukerwa na video ile na hivyo kuwaomba rafiki zake wanne, kwa maoni yake, arudishe heshima ya familia yake.

English

Authorities allege that the killer was the girls' stepbrother Khutore who was enraged at watching this video and enlisted the help of four of his friends to restore, in his view, his family's honor.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Picha za miili ya watu watano ikining'inia kwenye kamba juu ikiwa imefungwa kwenye winchi zilisambazwa kwenye mitandao ya twitter na facebook tarehe 21, 2013 zikiwasikitisha watumiaji wengi, ikiwa ni pamoja na raia wa Yemeni walioogopeshwa na kukerwa na picha za miili ya raia wenzao.

English

Photos of the five corpses hanging from a rope high in the air tied to two cranes circulated on Twitter and Facebook on May 21, 2013 to the outrage of many users, including many Yemenis who were disturbed and enraged by the images of their executed countrymen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kabla, tungeweza kustahili kufungwa kifungo cha maisha. gug anatangaza kwamba, Rais wa Jamhuri atakapoisaini sheria hii, gug atakuwa anastahili adhabu ya kifo...kwa sababu mimi na mpenzi wangu ni wakosaji, tunaivunja sheria hii.

English

Before, we could be liable to life imprisonment. gug hereby declares that, when the President of the Republic signs this law, gug will be liable to the death penalty… because I and my lover are serial offenders, breaking this law.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK