Results for unaokubalika translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

tumeshirikiana nao kuwapa ushauri mahsusi kwa maeneo yanayolengwa kuhusu namna ya kutunga ujumbe unaoeleweka na unaokubalika kiutamaduni.

English

we have also shared local advice on how to craft messages that clear and culturally appropriate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadri mgongano mkubwa wa maslahi unavyozidi kuwa wazi, ndivyo watu zaidi wanavyozidi kuamka kung'olewa kwa yingluck ni maigizo zaidi ya kuwa mchakato wa haki na unaokubalika

English

the more illegitimacy & conflict of interest are made apparent, the more awaken the people will be. #thailand — pravit rojanaphruk (@pravitr) january 23, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

(e) kujitoa kwenye makubaliano yoyote ya kimataifa ambayo uganda tayari ni mwanachama, au kuweka masharti ya kujihadhari, ambayo yanatafsiriwa upya ili kujumuisha kulindwa kwa tabia za kishoga, au kutetea ndoa za jinsia moja, au kutoa wito wa kutangaza au kufundisha kuhusu ushoga kama tabia yenye afya, ya kawaida au uchaguzi unaokubalika wa utaratibu wa maisha, au kutafuta kuanzishwa kwa tabia za kingono, mtazamo wa kingono, au utambilsho wa kijinsia au makundi madogo ya kijinsia kama makundi ya watu yanayolindwa kisheria; na (f) kuizuia uganda kuwa mwanachama wa chombo chochote cha kimataifa ambacho kinatamka wazi ujumuishaji na kulindwa kwa tabia za kishoga; kushabikia ndoa za jinsia moja; kutoa wito wa kushabikia na kufundisha kuhusu ushoga na mahusiano ya jinsia moja kama yenye kumaanisha afya njema, kawaida, ama uchaguzi wa namna ya maisha unaokubalika; na/au kutafuata kuanzisha tabia za kingono, mtazamo wa kingono, utambulisho wa kijinsia au makundi madogo ya kijinsia kama makundi ya watu yanayolindwa kwa nguvu ya sheria.

English

(e) to withdraw from any international agreements to which uganda already is a party, or file reservations to them, which are re-interpreted to include protection for homosexual behavior, or that promote same-sex marriage, or that call for the promotion or teaching about homosexuality as being healthy, normal, or an acceptable lifestyle choice, or that seek to establish sexual behavior, sexual orientation, or gender identity, or sexual minorities as legally protected categories of people; and (f) to prohibit uganda from becoming a party to any new international instruments that expressly include protection for homosexual behavior; promote same-sex marriage; call for the promotion or teaching about homosexuality or homosexual relations as being healthy, normal, or an acceptable lifestyle choice; and/or seek to establish sexual behavior, sexual orientation, gender identity or sexual minorities as legally protected categories of people

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK