Ask Google

Results for unasema translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

unasema nini

English

what are you saying

Last Update: 2018-09-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sijakuelewa unasema

English

Last Update: 2021-01-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nikisema kutokuwepo usawa, wewe unasema…?

English

If I say inequality, you say…?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kama unacho na unasema kwamba huna, hilo ni shauri lako.

English

If you have and say that you do not have, that's your own problem.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Muswada unasema kwamba madhara ya ushoga ni pamoja na:

English

It states the ill effects of homosexuality as:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Sawa, lakini ni zaidi ya miezi nane mnalikosea jina, alafu unasema hamna shida, na ada italetwa

English

misspell the name,

Last Update: 2020-08-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nchini Cuba, msemo maarufu unasema kuwa, "Furaha katika nyumba ya mlala hoi haidumu"

English

In Cuba, a popular phrase explains that "joy in the home of the poor doesn't last long."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Unasema: "Msizini," na huku wewe unazini; unachukia sanamu za miungu hali wewe unajitajirisha kwa kuiba katika nyumba za miungu.

English

Thou that sayest a man should not commit adultery, dost thou commit adultery? thou that abhorrest idols, dost thou commit sacrilege?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Ujumbe wa maandishi kwenye simu ya mkononi unaniambia ( katika kipindi hiki inanibidi nitegemee habari kutoka kwenye simu ya mkononi kama inawezekana kupokea) kwamba Umoja wa Mataifa unasema kuwa watu 13,000wamepoteza makazi yao, na kwamba asilimia 20 ya waliokufa ni wanawake na watoto, asilimia 70 hawana maji salama ya kunywa.

English

A text tells me (at this point I have to rely on news from phone and text messages, when reception is available) that the UN says 13,000 have been displaced since these attacks, that 20% of the dead are women and children, 70 % are without drinking water.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mtandao wa Flipboard unasema Global Voices itaongezwa kwenye mwongozo wa maudhui kwa watumiaji wanaoishi Japan, Hong Kong, Taiwan, Ufaransa, Uhispania, Brazil, Italia, Urusi, Uarabuni.

English

Flipboard says Global Voices will initially be added to content guides for users in Japan, Hong Kong, Taiwan, France, Spain, Brazil, Italy, Russia, Arabic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Hao wapelelezi wakamwambia, "Mwalimu, tunajua kwamba unasema na kufundisha mambo ya kweli; tunajua kwamba wewe huna ubaguzi; wewe wafundisha ukweli juu ya njia ya Mungu.

English

And they asked him, saying, Master, we know that thou sayest and teachest rightly, neither acceptest thou the person of any, but teachest the way of God truly:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK