Results for unyevu: humidity translation from Swahili to English

Swahili

Translate

unyevu: humidity

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wakati barakao itapata unyevu, itupe na uibadilishe.

English

when the mask becomes damp, discard and replace it.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii, hata hivyo, inatofautinana kulingana na unyevu na joto.

English

this, however, varies depending on the humidity and temperature.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mafuta ya nywele huziweka nywele na unyevu .kujaa na kua ndefu.

English

hair oil keeps the hair and moisture full and long.

Last Update: 2023-08-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usipanguse kiti cha kitambaa, kwa kuwa unyevu unaweza kufanya maambukizi kuwa rahisi zaidi.

English

don't wipe a cloth seat, as the moisture can make transmission easier.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

athari moja wapo inayowezekana ya kubadilishwa huku kwa hali ya hewa ni kwamba inabadili uelekeo wa unyevu unyevu kutoka kwenye maeneo mengine ambayo yanauhitaji vile vile, kwa minajili ya kutengeneza mvua kubwa katika eneno linalokusudiwa.

English

one possible side effect of weather modification is that it diverts precipitation from other regions that need it too, for the sake of creating stronger storms in a focused area.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mikono ambayo ina majimaji na unyevu inaweza kuchafuka tena kwa urahisi.sehemu ambazo mara nyingi husahaulika ni kidole gumba, kifundo cha mkono, maeneo katikati ya vidole na chini ya makucha.

English

wet and moist hands are more easily recontaminated.the most commonly missed areas are the thumb, the wrist, the areas between the fingers, and under fingernails.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingi zina alkoholi ya isopropyl au ethanoli ilichanganywa na viungo vya kuzipa uzito kama vile carbomer (polymer ya asidi ya acrylic) na kuunda mafuta, au kiongezaji unyevu kama vile kuifanya gliserini kuwa oevu, au povu ili itumike haraka na kupunguza athari za ukavu za alkoholi.

English

most are based on isopropyl alcohol or ethanol formulated together with a thickening agent such as carbomer (polymer of acrylic acid) into a gel, or a humectant such as glycerin into a liquid, or foam for ease of use and to decrease the drying effect of the alcohol.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
9,254,248,634 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK