Ask Google

Results for upelelezi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Hebu Miti na Mulenga wasafishwe na idara hizi za upelelezi!!!

English

Let Miti and MULENGA be cleared from the investigating wings of GRZ!!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Maekelawi ni Sekta ya Polisi ya Shirikisho la Upelelezi wa Matukio lililopo Addis Ababa.

English

Maekelawi is the Federal Police Crime Investigation Sector in Addis Ababa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Karibu jua kuzama, tulikaribia Maekelewi, Ushirika wa Kituo cha Upelelezi wa Polisi kinachojulikana kwa ukatili uliopitiliza.

English

Near sundown we arrived at notorious Maekelawi, Federal Police Investigation Centre.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Asubuhi iliyofuata, walichukuliwa, wakiwa wamepigwa pingu mkononi, kupelekwa kwa Ofisi ya Upelelezi na Mashtaka.

English

The next morning, they were taken, handcuffed, to the Investigation and Prosecution Bureau.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Upelelezi tayari umetangazwa kuanza hata hivyo hakuna mashitaka yaliyofunguliwa dhidi ya yeyote yule anayeaminika kuhusika na kifo cha Fodeil Aberkane.

English

An investigation is launched but no charges brought as of yet against any of the persons believed to be involved in the death of Fodeil Aberkane.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mkuu wa upelelezi wa jeshi nchini Sudani Kusini amekana kuwa kulikuwa na jaribio la mapinduzi ya kijeshi tarehe 15 Desemba, 2013.

English

The chief of military intelligence for South Sudan denies that there was an attempted coup there on December 15, 2013.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Upelelezi uliosababisha kukamatwa kwa mtawa huyo ulitokana na kusambazwa kwa picha hiyo ya utupu ya video kwa watu wengi hasa kupitia zana za bluetooth za kwenye simu za mkononi.

English

The investigation which led to an arrest was followed by an enormous sharing of that nude video via bluetooth from phone to phone.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati ambapo mamlaka nchini Irani inafanya upelelezi kuhusiana na jambo hili, Chuo Kikuu cha Oxford kimetangaza kwamba hakina kumbukumbu kwamba Bwana Kordan alipata kuhitimu katika chuo hicho.

English

While Iranian authorities are investigating this case, Oxford University announced that they have no record of Mr. Kordan graduating from there.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kimsingi, Mkurugenzi wa upelelezi wa kijeshi, aliyeitwa kuyapa nguvu madai ya serikali kuwa kulikuwa na mapinduzi, alikuwa imara kudai hapakuwa na kitu kama hicho.

English

Ironically, the Director of military intelligence, who was called to back up government’s assertion that there was a coup, came out strongly arguing that there was no such thing as a coup.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nyaraka zilizofichuliwa na Edward Snowden zinaonyesha kwamba wametekeleza na hata kuhujumu teknolojia ya mtandao kwa upelelezi wa ngazi za kimataifa, si kwa minajili ya kupambana na ugaidi kama kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwa upelelezi wa kibiashara.

English

The documents revealed by Edward Snowden indicate that they have implemented and even subverted Internet technologies for spying on a global scale, not so much for the anti-terrorism fight as for commercial espionage.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mnamo Desemba 9, 2012, Khartabil alipelekwa mbele ya mwendesha mashtaka wa jeshi bila kuwa na mwanasheria, na alishitakiwa kwa "kufanya upelelezi kwa ajili ya nchi adui".

English

On December 9, 2012, Khartabil was brought before a military prosecutor without an attorney present, and charged with "spying for an enemy State".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Walimtoa mwanangu Mo'ath na dereva nje ya gari kisha polisi alijaribu kuchukua simu yangu, lakini Mo'ath alimwambia asiniguse hata chembe walichukua zawadi na polisi alikuja katika kiti cha mbele na alimwamuru dereva kuelekea katika ofisi ya Mkuu wa Upelelezi huko Buraidah.

English

They got my son Mo'ath and the driver out of the car then a policeman tried to take my phone, but Mo'ath told him to keep his hands off me they took the gifts and a policeman came in the front seat and told the driver to go to the General Intelligence office in Buraidah.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Lakini, ninafahamu, Rais wa Marekani ana matatizo yake machache ya kuheshimu uhuru wa watu wa Amerika, kwa mfano, upelelezi huru wa Taifa? *dharau.*

English

But I understand POTUS has a few problems of his own respecting the freedoms of Americans- like, say, freedom from state surveillance? *shrug.*

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Taarifa kwamba shirika la Usalama wa taifa hilo na mashirika rafiki ya upelelezi yaliwafuatilia waandishi-ikiwa ni pamoja na taarifa kwamba Shirika la Usalama la Marekani (NSA) liliingilia mawasiliano ya Al-Jazeera-zinaleta athari mbaya kwenye vyombo vya habari.

English

Reports that the NSA and allied spy agencies surveilled journalists-including a report that the NSA hacked Al-Jazeera-create a chilling effect on the press.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Alama kadhaa za utambulisho wa kompyuta (IP address) ndani ya serikali ya Urusi zimeendelea kufanya kazi kazi kwenye kamusi elezo ya Wikipedia, ambapo kompyuta ya Shirika la Upelelezi la Urusi, FSO, ilihariri makala ya Kijerumani kuhusu Ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia MH17, ikibadili neno "wanaotaka kujitenga" kuwa "waasi."

English

IP addresses inside the Russian government continue to be active on Wikipedia, where a computer at the Russian Secret Service, the FSO, revised the German entry for Malaysia Airlines Flight 17, changing the word "separatists" into "rebels."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Mnamo Machi 12, Siku ya Dunia Kupinga Upelelezi wa Mtandaoni, shirika la Waandishi Wasio na Mipaka (Reporters Without Borders) liliitaja Bahrain kama moja ya nchi tano Maadui wa mtandao wa intaneti -"nchi zinazoingilia mawasiliano ya watu mtandaoni na kusababisha kuvunjwa kwa haki za binadamu."

English

On March 12, the World Day Against Cyber-Censorship, Reporters Without Borders named Bahrain as one of five state Enemies of the Internet - "spy states that conduct systematic online surveillance that results in serious human rights violations."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kutimuliwa kazi Mawaziri wawili, kufukuzwa kwa Mkuu wa Polisi, Upelelezi wa njama za silaha pamoja na ukweli kwamba kwa matokeo yoyote, Julius Malema atayakabili mashitaka yake, vyote hivyo vimetuma ujumbe chanya kwamba Afrika Kusini haitaruhusiwa kugeuka kuwa nchi ya Ulimwengu wa Tatu.

English

"The dismissal of two cabinet ministers, the firing of the police chief, the enquiry into the arms deal and the fact that whatever the outcome, Julius Malema has had to go on trial, have all sent out a positive message that South Africa will not be allowed to drift into a chaotic Third World state.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Vyombo vya habari vinaripoti kwamba Prabhakaran, ambaye alikuwa kwenye uongozi wa moja ya maasi ya kikatili zaidi duniani, aliuwawa kwa kombora wakati alipokuwa kwenye basi dogo na mkuu wa jeshi la majini la LTTE, Soosai, pamoja na mkuu wa upelelezi, Pottu Amman.

English

News media are reporting that Prabhakaran, who was at the helm of one of the world's most violent rebellions, was killed by rocket grenade while in a van with the head of the LTTE's navy, Soosai, and the LTTE intelligence chief, Pottu Amman.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kule Iceland, mbunge Birgitta Jónsdóttir anapigia chapuo Vuguvugu linalojulikana kama Icelandic Modern Media Initiative, ambalo ni pendekezo la mbingu iliyo salama wa ajili ya uandishi wa habari za upelelezi nchini humo, jambo ambalo anaamini kuwa litakuza uhuru wa kujieleza na uwazi ulimwenguni kote kwa kutoa kinga kwa makundi yanayopigia kelele maovu na wanaojitolea kuanika maovu hasa kinga dhidi ya vikwazo vya kudaiwa fidia.

English

In Iceland, parliamentarian Birgitta Jónsdóttir is promoting the Icelandic Modern Media Initiative, a proposal to create a global safe haven for investigative journalism in Iceland that would improve freedom of expression and transparency worldwide by protecting watchdog groups and whistleblowers from libel censorship.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK