Ask Google

Results for usafirishaji translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Tembo wa kike huchoka sana na kushindwa kuzaa na pia huweza kupoteza maisha katika kazi za usafirishaji wa magogo.

English

Male elephants are too tired and busy to reproduce and can even die from logging accidents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baadhi ya tembo wanakufa kutokana na kufanyishwa kazi nyingi katika maeneo ya shughuli za ukataji na usafirishaji wa magogo.

English

Some are dying because of overwork in logging areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tembo hutumiwa zaidi kwenye shughuli za usafirishaji magoo, kazi ambayo ni ngumu na hatari sana kwa tembo.

English

Elephants are mainly employed in the logging industry, a very hard and dangerous job.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Vipi vitendo vya jinai, usafirishaji wa madawa ya umma, mauaji? #PosesiónPresidencial#CorreistaPendejo

English

@Jose_CastroS: so Ecuador is paradise? what about the crime, the drug trafficking, the killings? #PosesiónPresidencial#CorreistaPendejo

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Usafirishaji wa shehena hiyo ulisitishwa, wakati serikali ya Ugiriki ilipobanwa na vyama vya upinzani pamoja na Shirika la Msamaha Duniani lilipokuwa likitaka vikwazo vya uingizwaji wa silaha nchini Israeli vipitishwe.

English

Delivery of the munitions was suspended, just as the Greek government was coming under fire from opposition parties, and Amnesty International was calling for an arms embargo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Yeye anaandikwa kwenye blogu yake akitumia jina tofauti na la kwake, jambo ambalo linamsaidia kueleza kwa bayana zaidi undani wa mambo magumu yanayowakabili wahanga wa biashara hiyo ya usafirishaji binadamu.

English

He blogs under a pseudonym, which allows him to show an inside look at the difficult situations of the victims.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Machi, serikali mpya dhaifu ya Andry rajoelina ilitoa amri za haraka zinazoruhusu uvunaji na usafirishaji nje wa magogo kutoka kwenye misitu inayohifadhiwa na maeneo ya Hifadhi za Historia Duniani.

English

After a coup in March, the new and weakened government of Andry Rajoelina issued sweeping decrees allowing the harvest and export of wood from protected forests and World Heritage Sites.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Makala yake pia inaonyesha ni kwa jinsi gani kufanya kazi katika mazingira yenye kusababisha msongo mkubwa wa mawazo na mazingira magumu kama hayo kunavyoweza kuathiri moyo wa kazi katika juhudi za kumaliza usafirishaji na unyanyasaji wa binadamu wengine.

English

His post also reveals how working a stressful and draining environment like this can affect the morale of those working to end human trafficking and abuse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Blogu yake ambayo ni ya kadri ya mwmaka mmoja inazungumzia masuala kama usafirishaji wa wanawake wa Kiafrika kwa ajili ya ukahaba, mapenzi, utamaduni na usherehekeaji wa Wanaume wa Kiafrika kati ya dhima nyinginezo.

English

Her blog which is barely one year old confronts issues of trafficking of African Women for prostitution, love, culture and celebration of African Men among other themes,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Julio Roberto Prado ni mwanasheria wa Ki-Guatemala, ambaye mara nyingi anachunguza na kuendesha mashtaka yanayohusu usafirishaji binadamu, hasahasa, unyanyasaji wanaofanyiwa wanawake na watoto.

English

Julio Roberto Prado is a Guatemalan lawyer, who frequently investigates and prosecutes cases of human trafficking, in particular, abuse against women and children.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mauaji, ujambazi wa kutumia silaha, usafirishaji wa madawa ya kulevya, ubakaji, na kufuru za kidini ni makosa yanayoongoza chini ya sharia ya dini inayotumika katika nchi hiyo ya Kiislamu.

English

Murder, armed robbery, drug trafficking, rape, and apostasy are capital offenses under the kingdom's Muslim Sharia law.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ulinganishaji wa kisa hicho na kingine kilichotokea mwaka jana cha mwanamke mmoja katika wilaya ya Minhang Shanghai aliyewatupia mafundi waliokuwa wakijiandaa kuvunja nyumba yake mabomu ya petroli aliyoyatengeneza, katika eneo ambapo kutakuwa kitovu cha usafirishaji kwa ajili ya eneo la Kibiashara la Shanghai 2010.

English

Comparisons were made with a case that happened last year, where a woman in the Minhang district of Shanghai threw self-made petrol bombs at a demolition crew preparing to destroy her house, which is the site of a transportation hub for the 2010 Shanghai Expo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Vikwazo hivyo pia vinakuja katika kipindi ambapo Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu na Idara ya Serikali ya Marekani ambazo kwa pamoja huweka kumbukumbu ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na biashara haramu inayoendelea ya usafirishaji kuvuka mipaka ya kimataifa ya mti adimu unaojulikana kama Rosewood kutoka misitu ya nchi hiyo ya Madagaska.

English

They also come on the heel of reports by Amnesty International and the US State Department that document multiple human rights violations and ongoing illegal international trafficking of precious rosewood from Madagascar rain forests.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pia alitangaza kwamba vituo vya dharura vya afya vitasaidia kazi za mfumo mzima wa afya kuanzia mwezi Aprili, na kwamba feri na madaraja ya dharura kuvuka Mto Bio-Bio utasaidia katika usafirishaji wa mizigo mizito na vifaa kwenda San Pedro de la Paz na Talcahuano.

English

He also announced that emergency health posts will correct the deficiencies of the health care system starting in April, and that emergency ferries and bridges in the Bio-Bio River will allow for the transport of heavy loads of materials and supplies to San Pedro de la Paz and Talcahuano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Aliaminika kama “mmoja wa wapiganaji gorila mwenye uchu wa damu" ,kulikuwa na hati 62 za kuamrisha kukamatwa kwake, aliwahi kuhukumiwa mara 5, na Marekani ilikwishaomba kukamatwa na kusafirishwa kwa mtu huyo kwenda Marekani kujibu tuhuma zinazohusiana na usafirishaji madawa ya kulevya, na iliahidi kutoa zawadi kwa kukamatwa kwake.

English

Regarded as "one of the most blood-thirsty" guerrillas , he had 62 arrest warrants against him, had been sentenced 5 times, and the United States had asked for his extradition for drug-trafficking related charges, offering a reward for his capture.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK