Ask Google

Results for ushirikiano translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nashukuru sana kwa ushirikiano wako

English

thank you very much for

Last Update: 2019-05-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa ushirikiano na Luis Henrique.

English

In collaboration with Luis Henrique.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tutaimarisha ushirikiano na jamii yote

English

Strengthen p/ships across society

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tunakaribisha ushirikiano pamoja na kukosolewa.

English

We welcome both collaboration and criticism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Makala hii imeandikwa kwa ushirikiano na Paula Góes

English

Written in collaboration with Paula Góes

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Posti hii imeandika kwa ushirikiano na Jessica Carrillo .

English

This post was written in collaboration with Jessica Carrillo .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Je, ushirikiano huu wapaswa kuanzia darasani kwenyewe?

English

Should this solidarity start in the classroom itself?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Angalia, haya mazungumzo ya “ushirikiano” ni uwongo.

English

Look, this talk of "partnership" is a lie.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Nilikuja Saudia kujenga madaraja (ushirikiano), sio kutengeneza maadui.

English

I came to Saudi Arabia to build bridges, not to make enemies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tunaanza ushirikiano wetu kwa kuanza na mada ya “Safari za Wahamiaji”.

English

We begin our partnership with the theme “Migrant Journeys.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa kuwa si kwa sababu za ushirikiano kwamba Rais wa Marekani anapaswa kulisikiliza bara la Afrika.

English

Because it’s not just for reasons of solidarity that the US president should attend to Africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa hakika ni mazingira ya siasa zilizopoozwa nchini Venezuela zinafanya ushirikiano huu kuwa wa kutazamwa.

English

It is precisely the hyper polarized political environment in Venezuela that makes this collaboration worth noting.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Jukwaa hilo salama lilizinduliwa kwa ushirikiano na GlobaLeaks, zana huru na inayoficha utambulisho wa mtumiaji.

English

The secure platform was launched in collaboration with GlobaLeaks, an open source and anonymous whistleblowing software.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Picha kutoka kwa mtumiaji wa Flickr Sida - Shirika la Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa la Sweden

English

Photo from Flickr user Sida - Swedish International Development Cooperation

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Lakini hivi kweli kuchangia msala ni kukuza hisia za ushirikiano na kujenga mafanikio ya kitaaluma?

English

But to share toilet to instill a sense of belonging and create excellence?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Walifanya upasuaji bure kwa wagonjwa waliokuwa na uhitaji katika nchi walizozuru, kwa ushirikiano na hospitali za wenyeji.

English

They carry out surgical procedures free of charge for patients that need them in the countries they visit, in partnership with local hospitals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ushirikiano kati ya jeshi la Somalia na Kenya ulisaidia katika kuwanusuru baada ya siku tatu tangu watekwe nyara.

English

Combined actions by Somali national army and Kenyan military them rescued after 3 days of captivity.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mikutano hii huanzisha urafiki mpya na kutengeneza mazingira ya kuzaliwa kwa mawazo na ushirikiano kutoka sehemu mbalimbali.

English

These meetings spark new friendships and are a rich breeding ground for ideas and collaborations across borders.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Serikali imeihakikishia umma kuwa itaendelea kupokea misaada ya kibinadamu kwa ushirikiano wa karibu na OIC na makundi mengine ya kimataifa.

English

The government has assured the public that it would continue to accept humanitarian aid by coordinating closely with OIC and other international groups.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mshiriki wa Kimauritania weddady aliandika kuwa Kolana Laila inatafuta kujenga ushirikiano kote Uarabuni katika twita yake:

English

Mauritanian attendee weddady noted that Kolena Laila is looking to build partnerships across the Arab world in this tweet:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK