Results for usomaji translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

"usomaji wa majira ya joto" kutoka kituo cha habari cha nipmuc.

English

"summer reading" from nipmuc media center.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wanaharakati wa haki za mashoga walianza kuwashinikiza wabunge waurudie mswada huo mwezi oktoba mwaka huu na usomaji wa wazi wa muswada huo ulifanyika oktoba 16.

English

gay rights activists began pushing legislators to resume their work in early october this year and a public hearing for the bill was held on october 16.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haikwepeki kwamba, habari nyingi ambazo huwa hazipati usomaji mkubwa kuliko zinavyostahili zinatoka kwenye nchi ambazo hupuuzwa na vyombo vikuu vya habari.

English

inevitably, many of the stories that don't get as wide a readership as they deserve are from countries that tend to be overlooked in international media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanablogu wengine wamejitokeza na kueleza upungufu au kutokuwepo kwa makala makini kuhusu usomaji na utamaduni katika vyombo vya habari vya kikaribea na hivyo kuzigeuza blogu zao ziwe magazeti ya kuperuzi.

English

other bloggers have responded to the shortage — or absence — of serious literary and cultural coverage in the caribbean press by turning their blogs into virtual magazines.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lauri anaandika kuhusu mradi uliopo afrika kusini, mfuko wa usomaji wa fundza, unaotumia teknolojia ya simu za mkononi kuhamasisha tabia ya kusoma kwa watoto:

English

lauri writes about a project in south africa, fundza literacy trust, that takes advantage of mobile phone technology to encourage reading among kids:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

philp pia anaorodhesha zaidi ya dazeni nzima ya majarida ya mtandaoni kuhusu usomaji wa kikaribea, baadhi yake yakiwa ni majarida yaliyopigwa chapa na ambayo yanaendesha kurasa zao za mitandaoni, baadhi yakiwa ni ya mtandaoni pekee.

English

philp also lists well over a dozen caribbean literary and scholarly journals online, some of them traditional printed journals that also maintain a web presence, and some entirely web-based.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya vitabu ya karibea iliyoanzishwa na mwandishi wa habari kutoka st. lucian, tony williams, ina lengo la "kuwahabarisha waandishi wa vitabu na wasomaji kuhusu maendeleo ya hivi karibuni katika biashara ya kimataifa ya vitabu na jinsi gani maendeleo hayo yanaweza kuathiri jumuiya za usomaji katika ukanda wa karibea na visiwa dola vingine vidogovidogo."

English

caribbean book blog, created by the st. lucian journalist tony williams, aims to "inform writers and readers about the latest developments in the international book trade and how they are likely affect the literary communities in the caribbean and other small-island states."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,911,633,479 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK