From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
Utepe wa njano.
The yellow scarf.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Nyuma ya kila wingu zito jeusi, pana utepe mwembamba wa shaba.
Behind every dark cloud, there is a silver lining.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
“Kitambulisho ni kidogo, kimejadaliwa utepe mwembamba, na kinaleta picha ya mamlaka.
“An ID is tiny, it’s laminated, and it’s also about authority.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Utepe wa njano ukiwa umefungwa katika mtaa wa Seoul kwa matarajio ya muujiza wa janga la kivuko cha Sewol.
Yellow ribbons tied along a Seoul street in the hope of miracles following the Sewol ferry disaster.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Picha ya Utepe wa Ukimwi wa Afrika ya Kusini imetoka kwa mvcorks katika mtandao wa picha wa Flickr.
Photo of South African AIDS Ribbons by mvcorks on Flickr.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Walipamba uzio uliowekwa na polisi kwa utepe wenye maneno ya kupinga nguvu za nyuklia, wakaweka mabango ya kisiasa, maua na vitu vingine na hivyo kugeuza miiba iliyokuwa imewekwa na polisi kuwa kama maonyesho ya kazi ya sanaa.
They decorated the fences with anti-nuclear ribbons, political banners, flowers and other items, turning the barricades into what some have dubbed a contemporary street art exhibition.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Mamia ya watu walitembea polepole kwa huzuni kubwa kupitia njia ndefu iliyoelekea kwenye kilima kwenda Nyanza, wengi wao walivaa chochote chenye rangi ya zambarau, kitambaa cha begani, kanga, au utepe wa mkononi.
Hundreds of people trudged up the long hill to Nyanza, many of them wearing something purple, a neckscarf, a wrap, even a purple wristband.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: