Ask Google

Results for uzoefu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ninaingiliana na uzoefu

English

and i become part of the experience

Last Update: 2014-07-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nitashiriki uzoefu wangu uliojifunza kwa Kiswahili

English

unsatisfactory

Last Update: 2020-01-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwanahabari wa kiraia akielezea uzoefu wake kwa wanablogu

English

A citizen journalist shares his experience with bloggers

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Watu wenye uzoefu na namna ya kushughulikia majeraha ya kisaikolojia?

English

Folks with experience treating trauma?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ni uzoefu unaokufanya uwe mnyenyekevu, na kuyatafakari mambo katika kina chake.

English

It is an experience that keeps you humble, puts things in perspective.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwandishi wa Cuba Dazra Novak alielezea uzoefu huo kupitia blogu yake :

English

Cuban writer Dazra Novak described the experience from her blog :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Felix ana uzoefu wa zaidi ya mika 20 katika shughuli za kuokoa waliotekwa.

English

Felix has more than 20 years of experience in the K&R business.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Siku iliyofuata baada ya dhahama, Lazy Frog aliandika muhtasari wa uzoefu wake:

English

The day after the tragedy, Lazy Frog summarized her experience:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@EricKamocha kwa kawaida mtu unajisikia vibaya lakini ulikuwa ni uzoefu mzuri

English

@EricKamocha naturally it felt strange but it was a good experience — Maureen K Mwanawasa (@mwanachilembo) October 3, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika umri wako na hicho unachokiita uzoefu hujui hata namna serikali inavyoendeshwa.

English

At you age and your so called experience you do not even know how govt works.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Alielezea zoezi hilo la upigaji picha kama 'uzoefu wa mzuri ajabu':

English

He described the filming as an ‘amazing experience’:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Petunia Lee anaandika kuhusiana na uzoefu wake wa kuhudhuria katika vipindi vya mazungumzo:

English

Petunia Lee writes about her experience of attending a dialogue session:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Je, huu ndio uzoefu wa wandishi wa Kisomali wanaowasaidia waandishi wa Kimagharibi kuhabarisha?

English

Is this a typical experience of Somali journalists who assist Western journalists with their reporting?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Anasimulia kwenye blogu yake uzoefu wake wa kupanda hadi kilele cha Mlima Everest kwa mara ya pili.

English

He shares in his blog the experience of climbing to the summit of Mount Everest for the second time.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Na baada ya hapo alitoa uzoefu wake mmoja baada ya mwingine katika siku hiyo ya kupiga kura:

English

He then gave a blow-by-blow account of his experience on voting day:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kama huu ndio uzoefu ambao Sata alidai kuwa nao ili kuendesha serikali basi anahitaji kuchunguzwa ubongo?

English

If this is the experience that Sata claimed he had to run govt then he needs brain check?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kampeni ya KUKUMBATIA inawaomba vijana vilevile kututumia uzoefu wao katika kampeni hii na picha hali kadhalika.

English

The HUG campaign asks young adults to also share their experiences and photos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Katika jukwaa hili huru, simulizi hazifupishwi, na uzoefu unabaki kuwa ni urithi wa kila mmoja.

English

In this open space, the words are not abridged and experiences find a way of becoming a common, shared heritage.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Punde tu kura zilipoanza kupigwa, watumiaji wa mtandao wa intaneti walianza kutoa mawazo na uzoefu wao.

English

As soon as the polls opened, netizens began to share their thoughts and experiences.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Napaswa kusema kuwa, uzoefu wangu katika mazungumzo ya SG ulifungua macho yangu kwa wananchi wenzangu wa Singapore.

English

I must say that my experience of the SG Conversation opened my eyes to other Singaporeans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK