Ask Google

Results for vielelezo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Wakati Kambodia ilipozizuia tovuti zinazoonesha picha za ngono, iliijumuishareahu.net kwa kuwa na vielelezo vya kisanii vyawachezaji wa zama wa Apsara walio matiti wazi pamoja na askari wa Khmer Rouge.

English

When Cambodia blocked websites showing pornography or sexy images, it included reahu.net for containing artistic illustrations of ancient bare-breasted Apsara dancers and a Khmer Rouge soldier.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

CD yake ya mwaka 2008 “Torture Without Trace” (mateso bila vielelezo) iliuzwa kwa maelfu ndani ya Tibet.

English

His 2008 CD "Torture Without Trace" sold out in thousands in Tibet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Katika blogu ya brevesdeguyane, tunajifunza jinsi Kanivali inavyozinduliwa huko Gayana ya Kifaransa na tunazivumbua picha za vielelezo vya utamaduni wa Kiguyana ya Kifaransa wa “Touloulous”.

English

In brevesdeguyane, we learn about the kick-off of Carnival in French Guiana and discover pictures illustrating the French Guianese tradition of the “Touloulous“.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"Bila ya kuwa na vielelezo sahihi ya vina vya mafuriko katika sehemu zinazoathirika mara kwa mara vitakavyosaidia mipango ya baadaye na pia utekelezaji wa miradi, tutaendelea kuwa na matatatizo yasiyo ya lazima yanayotokana na utekelezaji dhaifu wa vyombo husika.

English

“Thus unless we have proper records of flood levels in flood prone areas to guide future planning and implementation of projects, we will have more unnecessary problems due to poor implementations by the respective agencies involved in future.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Mwandishi Tena pia anadai kuwa uhamiaji hautegemeani tu na uwezekano w akupata kazi, kama inavyofikiriwa mara nyingi, bali pia na uharibifu wa mazingira, ugaidi na kutokuwepo usawa wa kiuchumi, vibadilika (variables) ambavyo wanasaikolojia wanadhani ni vielelezo vya furaha.

English

Tena also claims that migration flows don't just depend on the possibility of finding work, as is commonly thought, but are also influenced by pollution, terrorism and economic inequality, variables that psychologists consider determinants of happiness.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ili kuonyesha vielelezo katika ripoti hiyo na ushiriki wa mfanyabiashara mmoja, Sakhr El Matri, ambaye pia ni mkwe wa rais, akishiriki katika mchakato huo, Le Temps lilichapisha picha ikimwonyesha Sakhr El Matri akikagua shehena ya msaada kabla haujapakiwa kwenye ndege:

English

To illustrate the report and the involvement of businessman and the president son-in-law Sakhr El Matri in the initiative, Le Temps published a photo showing Sakhr El Matri inspecting the materials before they were loaded into the aircraft:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK