Ask Google

Results for waliojeruhiwa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Watu wengi waliojeruhiwa.

English

A lot of wounded people around.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Watu waliojeruhiwa wamelala chini

English

People injured lying on the ground

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tunaweza kupokea hadi "wagonjwa waliojeruhiwa 200″ hata sasa!

English

We can take up to *200 injured patients* immediately!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Hospitali kuu hapa tayari yote imejaa watu waliojeruhiwa huko katika jiji.

English

The local general hospital is already filled with people who were hurt in the capitol.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kituo hiki pia kinatoa matunzo kwa Tembo waliojeruhiwa na kisha kuokolewa.

English

The center is also a sanctuary for rescued elephants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchangiaji wa damu unaendelea katika eneo la wazi lililozungukwa na majengo la Shahbag kwa ajili ya kuwasaidia watu waliojeruhiwa kufuatia jengo lililoporomoka huko Savar.

English

Blood donation drive in Shahbag Square for the injured people of Savar building collapse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pia alitanabaisha kuwa, hospitali ya mtaa ilizidiwa na wagonjwa kutokana na idadi kubwa ya watu waliojeruhiwa. marekebisho ya katiba yaliyopendekezwa na Rais ambayo wananchi hawajakubaliana nayo.

English

She also mentioned that the local hospital collapsed due to the number of people injured. The Constitutional Reform proposed by the President, which they disapprove.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Miongoni mwa wale wanao twiti ndani ya chuo kikuu hicho, kilchosimamisha shughuli zake za kitaaluma, kuna kundi la harakati za wanafunzi wa UCAB wakiweka habari na picha za wanafunzi waliojeruhiwa .

English

Among those tweeting inside the university campus, that has suspended it academic activities, we find the group UCAB student movement sharing information and posting images of injured students .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Video ambayo Serikali ya Colombia Haitaki Tuone yaonyesha fujo inayotumiwa dhidi ya jamii mbili zilizoko ukingoni wa mto, ambazo zimetumia njia za amani kupinga kujengwa kwa bwawa hilo. Video hiyo pia inakusanya maoni na ushuhuda ya waliokumbana na vurugu hizo, pamoja na waliojeruhiwa.

English

The Video the Colombian Government Doesn't Want Us to See shows the violent eviction faced by two river bank communities standing up peacefully against the building of the dam, and pulls together the testimonies of those who faced the violence and were injured.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

‪ @dfkm1970: Kwa ndugu na dada zetu wote waliopoteza maisha yao, Mungu arehemu pema peponi roho zao, kwa wale waliojeruhiwa na waliofiwa, wakae thabiti #Twakumbuka Julai 11

English

@dfkm1970: To all our brothers and sisters who lost their lives, rest in peace. To all the injured and bereaved, keep your heads up! ‪#WeRememberJuly11

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kadhalika wengine wanaripoti juu ya matukio katika maeneo fulani fulani, huku wakiwa na matumaini ya kuwaondoa hofu ndugu na wapenzi walio nje ya nchi (mpaka hivi sasa, ni taarifa chache mno zilizokwishatolewa kwenye wavuti kuhusu waliofariki na waliojeruhiwa).

English

Still others are reporting on incidents in specific locations, in the hopes of assuaging the concerns of loved ones abroad (as of yet, very little information on those injured and dead has been released online).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6.8 lililopiga Jimbo la Kaskazini la Shan nchini Myanmar Alhamis iliyopita, kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyorushwa na Televisheni ya Taifa idadi ya vifo imeongezeka na imefikia 74, , na wale waliojeruhiwa idadi yao imefikia watu 100.

English

A 6.8 magnitude earthquake hit the northern Shan State in Myanmar on Thursday, and according to a state-run TV report, the death toll has increased to 74 people, and the number of injured has climbed past 100 people.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kukiwa na zaidi ya raia wa Palestina 2,000 waliojeruhiwa katika mashambulizi ya hivi karibuni yafanywayo na Israel katika ukanda wa Gaza, raia bado wana kila sababu ya kuadhimisha sikukuu ya Kiislam ya Eid Al-Adha, inayoanza leo miongoni mwa waislamu wengi duniani kote.

English

With over 2,000 Palestinian deaths in the latest Israeli assault on the Gaza Strip, citizens still find reasons to commemorate the Islamic Eid Al-Adha, which begins across the Muslim world today.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Sisi tulio nje ya Haiti tunaweza tu kujenga picha kichwani kuhusu hali halisi ya maisha ya kila siku yalivyo huko baada ya tetemeko baya la ardhi - lakini katikati ya juhudi za kuwatafuta wapendwa ndugu, juhudi za kuwahudumia waliojeruhiwa na jukumu zito na gumu la kuwafikishia msaada wa kiutu wale wanaouhitaji zaidi - wanablogu walio huko Port-au-Prince na maeneo ya jirani wanawasiliana na ulimwengu wa nje, ambao nao unahangaika kutaka kupata taarifa kutoka kwa wale waliokuwa katika eneo lenyewe kabisa la janga.

English

Those of us outside of Haiti can only imagine the stark reality of daily life in the earthquake's aftermath - but amidst attempts to find loved ones, efforts to administer to the wounded and the overwhelming task of getting relief to those who most need it - bloggers in and around Port-au-Prince are finding the time to communicate with the outside world, which is desperate for news from those closest to the disaster.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mkutano wa hadhara wa mwisho kwa kampeni ya umeya wa chama cha upinzani cha MDM katika Beira ulimalizika kwa watu watatu kuuawa na kadhaa kujeruhiwa - waliojeruhiwa ni pamoja na mwana wa mgombea - kufuatia mashambulizi ya polisi wa kutuliza ghasia ambao walitumia mabomu ya kutoa machozi na kufyatua risasi kwa hewa.

English

The final mayoral campaign rally of opposition party MDM in Beira ended with three people killed and several injured - the injured included the candidate's own son - following an attack by riot police who used tear gas grenades and shot bullets to the air.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Waandamanaji waliojeruhiwa ambao wachunguzi wa Wanafizikia wa Haki za Binadamu (PHR) waliowafanyia uchunguzi waligundua kuwa walikuwa wanasumbuliwa na majera yaliyotokana na kupigwa, mipasuko ya ngozi vichwani, kukosa sehemu fulani za miili yao, mikono na miguu, hii inatokana na maguruneti ya chuma wanayotupiwa katika umbali mfupi na maafisa wa polisi na kuwalipukia.

English

the head, torso, and limbs due to the impact of metal canisters being fired at them by law enforcement officials at close range.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK