Ask Google

Results for walitengeneza translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Wengine walitengeneza alama ishara ya #NkurunzizaPlaylist, ambapo walituma vichwa vya nyimbo kwa ajili ya Nkurunziza.

English

Some created the #NkurunzizaPlaylist hashtag, where they share titles of songs for Nkurunziza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ili kukabiliana na upungufu, Coles waliangiza vifurushi vikubwa kutoka kwa bidha na kuongeza kwa mara ya kuwasilisha bidhaa, Woolworths waliagiza bidhaa za ziada, huku ALDI walitengeneza bidhaa kwa ajili ya mipango ya Jumatano maalum mapema zaidi.

English

To further alleviate the shortage, Coles ordered bigger packages from suppliers and increased delivery frequency, Woolworths ordered extra stock, while ALDI made stocks for a planned Wednesday special available early.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati huo huo, maafisa wa serikali walitengeneza kwa haraka ukuta wa kijani pembezoni mwa barabara ambazo msafara wa Papa Francis ungepita, kwa lengo la kumzuia Papa na watu wengine waliokuwa kwenye msafara huo kuo mitaa wanayoishi maskini pembezoni mwa kizuizi.

English

Meanwhile, officials erected a green wall along the Pope's motorcade route, preventing him and other motorists from seeing the urban poor who live beyond the barrier.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mashabiki walitengeneza pembe kutokana na makopo yaliyotupwa, kwa furaha ya wengi na kero kwa wengine: Mwandishi wa Afrika Kusini Jon Qwelane aliandika mwaka 2007 kwamba “Siku hizi, kuna kifaa kilichotokea kuzimu, kinachoitwa vuvuzela, ambacho kimepelekea uamuzi wangu wa kuacha kuhudhuria mechi na badala yake kuzianngalia kwenye televisheni, huku sauti ikiwa imeminywa kabisa.”

English

Supporters made the horns out of discarded tin cans, and the use spread wildly, to the joy of many and the irritation of some: South African writer Jon Qwelane wrote in 2007 that “Nowadays, there is an instrument from hell, called the vuvuzela, which has largely formed my decision to abandon all live games and rather watch on TV, with the sound totally muted.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK