Ask Google

Results for wanaunga translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Si ajabu John Kerry & wanasiasa wa Kimarekani wanaunga mkono utengano!

English

No wonder John Kerry & US politicians are supporting the division!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Nchini Uganda, asilimia 65 wa watu walioshiriki utafiti huu wanaunga mkono ukomo wa madaraka, suala ambalo linaendelea kubeba umuhimu kila uchao.

English

In Uganda, 65 percent of respondents in this poll support the respect of term limits, an issue that grows more relevant by the day.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wanablogu wa Jamaika wanaunga mkono amri hiyo, na wanaona kuwa huu ni wakati wa wasanii wa Jamaika kuongeza bidii na kuudhihirishia ulimwengu ubunifu wao.

English

Jamaican bloggers have all come out in full support of the ban, and see this as a time for Jamaican artistes to step up and prove their creativity to the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Utafiti mpya uliofanywa na Afrobarometer, mradi unaopima mitazamo ya wananchi katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara, unaonesha kwamba wa-Afrika wengi wanaunga mkono ukomo wa vipindi viwili tu kwa marais wao.

English

New research by Afrobarometer, a project that measures public attitudes in Sub Saharan Africa, suggests that most Africans support two-term presidential term limits for their presidents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Khalid Ewais, mwandishi wa habari wa Al Arabiya, alitwiti: تحية لثوار سوريا الذين يناصرون ثورتنا الآن رغم ظروفهم، أما بعض الذين يسخرون من السودان وشعبه الآن نقول: ليست ثورتنا الأولى ‎ Ninawaheshimu wanamapinduzi wa Syria ambao wanaunga mkono mapinduzi yetu pamoja na hali yao ngumu, na wale wanaoikejeli Sudani na watu wake, kwao tunawaambia: Haya si mapinduzi yetu ya kwanza

English

Khalid Ewais, a journalist with Al Arabiya, tweeted : Salute to the revolutionaries of Syria who are supporting our revolution despite their circumstances, as for those who are mocking Sudan and its people we tell them: This is not our first revolution

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kama baadhi kura za maoni ya hivi karibuni zinaonyesha, 90% ya Wa-Brazil wanaunga kupunguza umri wa miaka kwa jukumu la jinai, na 61% wanaamini kwamba uhalifu unasababishwa na tabia mbaya za watu.

English

As some recent opinion polls show, 90% of Brazilians support the reduction of the age of criminal responsibility, and 61% believe that criminality is caused by people's bad character.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kikundi cha Facebook kinachojulikana kama Wa-Hungaria na Wa-Slovakia (HUN, SLO,ENG) tayari kimeanzishwa "Kwa lengo la kuweka uhusiano mzuri kati ya Wa-Hungaria na Wa-Slovakia!", na sasa wanaunga mkono kundi jipya linalojulikana kama Štastný nový rok, Slovensko! / Boldog Új Évet Magyarország!

English

A Facebook group called Hungarians and Slovaks (HUN, SLO, ENG) already exists "For the good relations between Hungarians and Slovaks!", and now they're also supporting a new group called Štastný nový rok, Slovensko! / Boldog Új Évet Magyarország!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK