MyMemory, World's Largest Translation Memory
Click to expand

Language pair: Click to swap content  Subject   
Ask Google

You searched for: wazima ( Swahili - English )

    [ Turn off colors ]

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Anafuata uongozi wa watu wazima.

English

She looks up to adults.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Anengiyefa anaona kwamba Uganda imeona unafiki wa wabunge waliungana na wako tayari kupitisha sheria ya kuufanya ushoga kuwa kosa kwa jina la maadili; hii inalishinda kusudi la kwa nini mfumo uko makini kuyafanya mahusiano ya hiari baina ya watu wawili wazima wa jinsia moja yawe jinai na kuacha masuala muhimu kama mapigano ya kikabila, ukabila, UKIMWI, ukabaji wa watotot nk:

English

Anengiyefa sees that Uganda has just seen hypocrisy of MPs who have unified and are ready to pass a law victimizing homosexuality in the name of morality: this beats the purpose why the system is so anxious to criminalize consensual sex amongst two adults of the same gender and omitting important issues like ethnic violence, tribalism, AIDS, child rape etc:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Bloga wa Kijamaika, Girl With a Purpose anaandika kwamba anafikiri amri hii ya kuzuia iliyowekwa itafanikiwa kuzuia miziki michafu itakayosikilizwa “pengine kwa asilimia 50 ya muda… kupitia redio na televisheni”, wajibu mkubwa bado ni wa watu wazima katika jamii yetu, hasa wazazi, ambao inawabidi wajichunge wao wenyewe na wajue kwamba:

English

Jamaican blogger, Girl with a Purpose notes that while she does think the ban will be effective in reducing the lewd music that is heard "for probably 50% of the time...via radio and television", a large part of the responsibility lies with the adults of our society, especially parents, who need to censor themselves and realize that:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Elimu ya watu wazima, elimu ya rasilimali watu, masomo ya utumizi uchumi, masomo ya mawasiliano na vyombo vya habari, masomo ya uchumi wa kimataifa na masomo ya sheria bado si kipaumbele cha serikali; na hivyo hakutakuwepo msamaha wa ada ya masomo kwa ajili ya wanafunzi watakaosoma masomo yaliyotajwa.

English

Adult education, applied economic studies, communication and media studies, human resources studies, international economics and law are still not the government's favorites; there would be no tuition-free slots allocated for them.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Glenda Larke anaamini kwamba ndoa za watoto hazina tofauti na ngono batili kati ya watu wazima na watoto, hata kama ni kwa mujibu wa sheria.

English

Glenda Larke believes that a child marriage is no different to paedophilia, even if it is legal.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Jambo hili linaashiria kuwepo kwa viwango vya chini vya kumweka mfanyakazi kwa wafanyakazi vijana na wafanyakazi watu wazima wanaoendelea kubaki katika kazi zao za zamani kwa kuwa ni jambo la kuhatarisha sana kujaribu kutafuta kazi nyingine.

English

This indicates lower retention rates of young workers and older workers staying in their old jobs since it is too risky to find another job.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Jumapili ya tarehe 14 Machi, raia wote wa Ufaransa wakiwemo wale wa idara za ng’ambo za Ufaransa (Martinique, Guadeloupe, French Guiana na Reunion) walitakiwa kupiga kura za majimbo na bunge la majimbo lenye madaraka katika majimbo hayo kama vile katika mipango ya mafunzo ya watu wazima, ujenzi na bajeti za shule za sekondari za umma, na kutoa fedha kwa miradi ya kukuza utamaduni.

English

On Sunday March 14th, all French citizens including those in the four French overseas departments (Martinique, Guadeloupe, French Guiana and Reunion) were asked to vote for the regional elections and the regional assembly in charge of devolved powers such as planning adult professional training, building and funding public high schools, financing and promoting cultural projects.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kama tunachukulia vifaa vinavyoonekana kama vile manga au sinema, sheria imetafsiri neno ukosefu wa maadili kwenye ibara hii kama kuonesha vinyweleo vya sehemu za siri, sehemu za siri za watu wazima na tendo la ngono.

English

If we consider visual material such as manga or cinema, the law has interpreted the term obscenity in this article as the exposure of pubic hair, the adult genitals and the sexual act.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika mwaka huu wa 2010, yaelekea kuna harakati zinazowahamasisha maelfu ya vijana na watu wazima - kuhusu uwepo wa makubaliano ya uchimbaji dhahabu na Kampuni ya Barrick huko Cotuí, mji ambao ni manispaa kubwa zaidi katika jimbo la Sánchez Ramírez, ambayo ni moja ya sehemu zenye shughuli kubwa zaidi za uchimbaji madini ulimwenguni: la Pueblo Viejo (Mji wa Zamani) huku eneo hilo likikadiriwa kuwa na troi milioni 24 za onsi za dhahabu.

English

In 2010, it appears that another cause is mobilizing thousands of young people and adults - the presence of the mining consortium Barrick Gold in Cotuí, the head municipality in the province of Sánchez Ramírez, which is home to one of the largest gold mines in the world: Pueblo Viejo (Old Town), with estimated reserves of 24 million troy ounces of gold.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Lakini inaonekana kuwa si tu kwamba nyimbo la kulalia zinawasaidia watoto kupumzika, lakini pia zinawasaidia watu wazima, hali kadhalika, anaeleza mwandishi Kathy Henderson, aliyekusanya nyimbo za aina hiyo kutoka kila kona ya dunia alipokuwa akiandaa kitabu chake cha watoto kiitwacho, Hush, Baby, Hush .

English

But it turns out lullabies don't just help babies relax, they help adults, as well, explains author Kathy Henderson, who collected lullabies from across the globe for her children's book, Hush, Baby, Hush.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Leo, pendekezo hilo limeamshwa upya kutokana na kuwepo kwa mkanda wa kutia aibu wa ngono wa mtu maarufu ambao unaendelea kuwastua wote watoto na watu wazima katika nchi yenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani.

English

Today, the proposal is being revived in the wake of a celebrity sex tape scandal which continues to shock both the young and old in the world’s most populous Muslim-majority nation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Makundi ya watu wazima na vijana pia yalikuwa na warsha za muziki, hiki ni kipande chake:

English

The youth and adult groups also had a music workshop, here is a snippet of it:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Moto huo uliunguza Karibu kila kitu chenye thamani na wakati wazima moto walipomaliza kuuzima moto huo; kila kitu kilikuwa ni majivu isipokuwa kuta za zege na nguzo.

English

The fire burnt nearly every valuable item and by the time the fire service personnel were done putting out the inferno; everything was down to ashes except the concrete walls and pillars.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwanzoni lilianzishwa kama vile soko la Boa Vista, eneo la biashara lilikuwa pengine ndio sehemu pekee ambayo palikuwa na uwezekano wa kupata bidhaa zozote – japokuwa kwa njia za vificho, pamoja na bunduki na biashara ya silaha na pia huduma za ngono za watu wazima pamoja na watoto.

English

Initially designed like the Boa Vista Market, the commercial area was perhaps the only location where it was possible to find a little bit of everything – albeit through hidden means, including guns and arms trafficking and both adult and child sexual services.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni utaratibu wa lazima kabisa kwa nchi ya China kuheshimiwa watu wazima na kuwatunza wazazi kwa kadiri ya umri wao unavyosogea, lakini aina mpya ya maisha imewalazimu vijana wadogo huondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha yao.

English

It is strong tradition in China to respect the elderly and take care of parents as they get older, but modern lifestyles has meant that young people leave home for their own love and career.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pamoja na utata ambao umetokana na malipo ya kuwaokoa, habari njema ni kwamba Montserrat Serra na Blanca Thiebaut wako pamoja na familia zao, salama na wazima.

English

Regardless of the controversy that has been created around the payment of their rescue, the good news is that Montserrat Serra and Blanca Thiebaut are with their families, safe and sound.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pia alilalamika kuwa makazi ya Ridge yangeweza kuokolewa kama nyumba ingekuwa na upatikanaji wa maji wa uhakika kwani wakati wazima moto walipowasili, walikuwa na maji kidogo tu kwenye mitungi yao na walifikiri kuwa wangeliweza kupata maji zaidi pale nyumbani.

English

She also complained that the Ridge residence might have been saved from the fire if the house had a constant flow of water because when the fire fighters arrived, they had little water in their tanks and thought they could get some more water from the house.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Siku za hivi karibuni, dalili za ugojwa huu zimeonekana pia kwa baadhi ya watu wazima.

English

Recently, some old people have also shown signs of the disease.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Video nyingi kama hizi zimetoka kwa watu wazima wanaojifunza lugha ya pili.

English

Many of these videos come from adults who are second language learners.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati hakuna maisha yaliyopotea, janga hilo liliacha “sura ya kusikitisha” ya mabaki ya nyumba ambayo wazima moto walijaribu bila mafanikio kuyaokoa kwa masaa matatu.

English

While no life was lost, the disaster left behind “the depressing spectacle" of the ruins of a house which firemen had tried in vain to salvage in three hours.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Add a translation

Search human translated sentencesUsers are now asking for help:vliegtuigongeval (Dutch>German) | veckodagarna (Swedish>Finnish) | make your dreams come true (English>Hindi) | crowding (English>Polish) | basofilo (Italian>Swedish) | thamil mozhiyel ariviyal sinthanaigal katturai (English>Tamil) | jimmy (Swedish>English) | upřesnění (Czech>English) | 석탄 (Korean>Spanish) | nullum est periculum (Latin>Spanish) | aap bahut acche lag rahe ho (Hindi>English) | nepakeičiamųjų (Lithuanian>Romanian) | est (Latin>English) | hidrocarbonat (Romanian>English) | os (Romanian>Hebrew)


Report Abuse  | About MyMemory   | Contact Us


MyMemory in your language: English  | ItalianoEspañolFrançaisDeutschPortuguêsNederlandsSvenskaРусский日本語汉语한국어Türkçe

We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK