From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mungu ni wokovu
yahweh is my god
Last Update: 2023-04-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bwana ni nuru wokovu wangu
Last Update: 2024-02-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na, watu wote watauona wokovu utokao kwa mungu."
and all flesh shall see the salvation of god.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maana kwa macho yangu nimeuona wokovu utokao kwako,
for mine eyes have seen thy salvation,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa sababu mnapokea wokovu wa roho zenu ambao ni lengo la imani yenu.
receiving the end of your faith, even the salvation of your souls.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika ulimwengu wa kusadikika, upendo wa kusadikika ndio wokovu wangu wa pekee.
in a senseless universe, senseless loving is my only salvation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
malaika ni roho tu wanaomtumikia mungu, na mungu huwatuma wawasaidie wale watakaopokea wokovu.
are they not all ministering spirits, sent forth to minister for them who shall be heirs of salvation?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na neno la mungu kama upanga mnaopewa na roho mtakatifu.
and take the helmet of salvation, and the sword of the spirit, which is the word of god:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana mungu hakututeua ili tuangamizwe na ghadhabu yake, bali tuupate wokovu kwa njia ya bwana wetu yesu kristo,
for god hath not appointed us to wrath, but to obtain salvation by our lord jesus christ,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninyi wasamaria mnamwabudu yule msiyemjua, lakini sisi tunamjua huyo tunayemwabudu, kwa maana wokovu unatoka kwa wayahudi.
ye worship ye know not what: we know what we worship: for salvation is of the jews.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unakumbuka kwamba tangu utoto wako umeyajua maandiko matakatifu ambayo yaweza kukupatia hekima iletayo wokovu kwa njia ya imani kwa kristo yesu.
and that from a child thou hast known the holy scriptures, which are able to make thee wise unto salvation through faith which is in christ jesus.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana bwana alituagiza hivi: nimekuteua wewe uwe mwanga kwa mataifa, uwe njia ya wokovu kwa ulimwengu wote."
for so hath the lord commanded us, saying, i have set thee to be a light of the gentiles, that thou shouldest be for salvation unto the ends of the earth.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini sisi ni watu wa mchana na tunapaswa kuwa na kiasi. tunapaswa kuvaa imani na upendo kama vazi la kujikinga kifuani, na tumaini letu la wokovu kama kofia ya chuma.
but let us, who are of the day, be sober, putting on the breastplate of faith and love; and for an helmet, the hope of salvation.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
halafu paulo akamaliza na kusema, "jueni basi, kwamba ujumbe wa mungu juu ya wokovu umepelekwa kwa watu wa mataifa. wao watasikiliza!"
be it known therefore unto you, that the salvation of god is sent unto the gentiles, and that they will hear it.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi, huyo msichana alimfuata paulo na sisi, akipiga kelele na kusema, "hawa watu ni watumishi wa mungu mkuu. wanawatangazieni njia ya wokovu."
the same followed paul and us, and cried, saying, these men are the servants of the most high god, which shew unto us the way of salvation.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ilikuwa haki tupu kwamba mungu, ambaye huumba na kutegemeza vitu vyote, alimfanya yesu kuwa mkamilifu kabisa kwa njia ya mateso, ili awalete watoto wengi waushiriki utukufu wake. maana yesu ndiye anayewaongoza kwenye wokovu.
for it became him, for whom are all things, and by whom are all things, in bringing many sons unto glory, to make the captain of their salvation perfect through sufferings.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunakubali na kushikilia kwa nguvu ukweli kwamba yesu kristo ni mwana wa mungu, na kwamba ndani yake, na yeye pekee, wokovu wa milele unaweza kupatikana. kwa sababu ya asili ya shirika letu na wito wa mungu kututumikia watu wake, tunaruhusu uhuru wa imani juu ya mambo mengine ya mafundisho, mradi tafsiri yoyote inategemea biblia. hakuna tafsiri tofauti au tofauti za madhehebu zinapaswa kuwa suala ambalo linazuia huduma ambayo mungu ametuita.
we accept and hold strongly to the truth that jesus christ is the son of god, and that in him, and him alone, eternal salvation can be found. because of the nature of our organization and god’s calling on us to serve his people, we allow for freedom of conviction on other doctrinal matters, provided that any interpretation is based upon the bible. no such differing interpretations or denominational differences should become an issue that hinders the ministry to which god has called us. we are
Last Update: 2023-04-29
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference: