Ask Google

Results for yanafanya translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Mambo hayo yanafanya kazi vyema kwenye nchi nyingine Usiruhusu mchango wako kwa dunia uwe ni ule ambao unaudhi!

English

Seems to work for other countries just fine. Don't let your only contribution to the world be an almost universally annoying one!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mazungumzo haya yamejaa hisia, kwa hiyo wakati mwingine yanafanya watu wajisikie vibaya. hata hivyo, mijadala hiyo ni ya muhimu.

English

These conversations are emotional, and therefore uncomfortable. But they’re necessary.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kama unakuwa rais wa taifa hili, unachukua mshahara pamoja na marupurupu mengine kadhaa ambayo yanafanya pasiwe na ulazima kwako kutumia pesa zako mwenyewe na hauwezi kujenga nyumba yako mwenyewe kasha unageuka na kutegemea kuwa serikali ikupatie makazi wakati ukiritaya, basi wewe si mwingine zaidi ya mjinga mkubwa.

English

If you become president of this nation, take a monthly salary and several other perks that make it virtually unnecessary for you to use your own money and you can’t build a house of your own and you turn around expecting the state to provide you with accommodation upon retirement, then you are nothing but a big fool.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK