Ask Google

Results for zambarau translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

zambarau tree

English

purple tree

Last Update: 2014-12-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

zambarau fruit

English

purple fruit

Last Update: 2017-10-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.

English

And they clothed him with purple, and platted a crown of thorns, and put it about his head,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.

English

And the soldiers platted a crown of thorns, and put it on his head, and they put on him a purple robe,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Rangi ya zambarau ni alama ya maombolezo nchini Rwanda na jana tarehe 7 Aprili, ilikuwa siku ya kuadhimisha Kumbukumbu ya miaka 15 tangu Mauaji ya Kimbari.

English

The colour purple is the colour of mourning in Rwanda and yesterday, 7th April, was the 15th Anniversary of the Genocide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Miongoni mwa wale waliotusikiliza alikuwa mwanamke mmoja mcha Mungu aitwaye Ludia mwenyeji wa Thuatira, ambaye alikuwa mfanyabiashara ya nguo za kitani za rangi ya zambarau. Bwana aliufungua moyo wake hata akayapokea yale maneno Paulo aliyokuwa anasema.

English

And a certain woman named Lydia, a seller of purple, of the city of Thyatira, which worshipped God, heard us: whose heart the Lord opened, that she attended unto the things which were spoken of Paul.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau, na ya kitani safi, na kufanya sherehe kila siku.

English

There was a certain rich man, which was clothed in purple and fine linen, and fared sumptuously every day:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Basi, Yesu akatoka nje amevaa taji ya miiba na joho la rangi ya zambarau. Pilato akawaambia, "Tazameni! Mtu mwenyewe ni huyo."

English

Then came Jesus forth, wearing the crown of thorns, and the purple robe. And Pilate saith unto them, Behold the man!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Mamia ya watu walitembea polepole kwa huzuni kubwa kupitia njia ndefu iliyoelekea kwenye kilima kwenda Nyanza, wengi wao walivaa chochote chenye rangi ya zambarau, kitambaa cha begani, kanga, au utepe wa mkononi.

English

Hundreds of people trudged up the long hill to Nyanza, many of them wearing something purple, a neckscarf, a wrap, even a purple wristband.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwanamke huyo alikuwa amevaa vazi la rangi ya zambarau na nyekundu; alikuwa amejipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu. Mkononi mwake alishika kikombe cha dhahabu ambacho kilikuwa kimejaa machukizo na mambo machafu yanayoonyesha uzinzi wake.

English

And the woman was arrayed in purple and scarlet colour, and decked with gold and precious stones and pearls, having a golden cup in her hand full of abominations and filthiness of her fornication:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Lakini ilikuwa ni vijana ndiyo walionigusa zaidi: wasichana waliovalia mavazi ya rangi ya zambarau na nyeupe walighani mashairi kwa lugha ya Kinyarwanda, hasa wakihimiza umuhimu wa kuvaa ushujaa kwa ajili ya siku za baadaye licha ya huzuni kubw, na pia kwaya ya vijana waliovalia Tii-sheti zenye maneno 'Hali hii isijirudie tena kamwe', maneno hayo pia yalikuwa kwenye vitambaa walivyojifunga kichwani, huku wakiimba kwa hisia kubwa juu ya umuhimu wa kutosahau kamwe mauaji ya kimbari.

English

But it was the young people who moved me most: girls dressed in purple and white reciting poems in Kinyarwandan about the need to take courage for the future in spite of the sorrow and grief, and a youth choir with 'Never Again' emblazoned on their T-shirts and headbands, singing with emotion about the importance of never forgetting the genocide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakisema, "Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!

English

And saying, Alas, alas, that great city, that was clothed in fine linen, and purple, and scarlet, and decked with gold, and precious stones, and pearls!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hakuna tena wa kununua dhahabu yao, fedha, mawe ya thamani na lulu, kitani na nguo za rangi ya zambarau, hariri na nguo nyekundu; vyombo vya kila aina ya miti ya pekee, vyombo vya pembe za ndovu, vya miti ya thamani kubwa, vya shaba, chuma na marmari;

English

The merchandise of gold, and silver, and precious stones, and of pearls, and fine linen, and purple, and silk, and scarlet, and all thyine wood, and all manner vessels of ivory, and all manner vessels of most precious wood, and of brass, and iron, and marble,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK