Results for mbatizaji translation from Swahili to Esperanto

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Esperanto

Info

Swahili

hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya yohane mbatizaji.

Esperanto

tiam la discxiploj komprenis, ke li parolis al ili pri johano, la baptisto.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku hizo yohane mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la yudea:

Esperanto

en tiuj tagoj venis johano, la baptisto, predikante en la dezerto de judujo,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yohane mbatizaji alitokea jangwani, akahubiri kwamba ni lazima watu watubu na kubatizwa ili mungu awasamehe dhambi zao.

Esperanto

venis johano, kiu baptis en la dezerto kaj predikis la bapton de pento por la pardonado de pekoj.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, "nipe papahapa katika sinia kichwa cha yohane mbatizaji."

Esperanto

kaj sxi, instigite de sia patrino, diris:donu al mi cxi tie sur plado la kapon de johano, la baptisto.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakamjibu, "wengine wanasema kuwa ni yohane mbatizaji, wengine eliya, wengine yeremia au mmojawapo wa manabii."

Esperanto

kaj ili diris:laux iuj:johano, la baptisto; laux aliaj:elija; kaj laux aliaj:jeremia, aux unu el la profetoj.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha wanafunzi wa yohane mbatizaji walimwendea yesu, wakamwuliza, "sisi na mafarisayo hufunga mara nyingi; mbona wanafunzi wako hawafungi?"

Esperanto

tiam alvenis al li la discxiploj de johano, dirante:kial ni kaj la fariseoj fastas ofte, sed viaj discxiploj ne fastas?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, "niombe nini?" naye akamjibu, "kichwa cha yohane mbatizaji."

Esperanto

kaj elirinte, sxi diris al sia patrino:kion mi petu? kaj tiu diris:la kapon de johano, la baptisto.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kweli nawaambieni, miongoni mwa watoto wote wa watu, hajatokea aliye mkuu kuliko yohane mbatizaji. hata hivyo, yule aliye mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni, ni mkubwa kuliko yeye.

Esperanto

vere mi diras al vi:inter naskitoj de virinoj ne aperis iu pli granda ol johano, la baptisto; tamen tiu, kiu estas nur malgranda en la regno de la cxielo, estas pli granda ol li.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wakamjibu, "wengine wanasema kuwa wewe ni yohane mbatizaji, wengine wanasema wewe ni eliya, hali wengine wanasema kuwa wewe ni mmoja wa manabii wa kale ambaye amefufuka."

Esperanto

kaj ili responde diris:laux iuj johano, la baptisto; sed laux aliaj:elija; kaj laux aliaj, ke unu el la antikvaj profetoj relevigxis.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watu wengine wakamwambia yesu, "wafuasi wa yohane mbatizaji hufunga mara nyingi na kusali; hata wafuasi wa mafarisayo hufanya vivyo hivyo. lakini wafuasi wako hula na kunywa."

Esperanto

kaj ili diris al li:la discxiploj de johano ofte fastas kaj faras pregxojn, kaj tiel same ankaux la discxiploj de la fariseoj; sed la viaj mangxas kaj trinkas.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,997,844,427 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK